Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa zinauzwa nitafute mzeeNiliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Beti hadi ikuue au umuue kanjiNiliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Niliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Leo kuna Odd za kushiba mkuu njoo nikupe mkeka wa behewa la mechi kumi 😜acha habari zako hzoNiliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Ukiacha kubeti uraibu utahamia kwenye ngonoNiliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Tupo woteNiliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
AahaaahaLeo kuna Odd za kushiba mkuu njoo nikupe mkeka wa behewa la mechi kumi 😜acha habari zako hzo
Anza kubet weekend kwa weekend, weka stake kubwa kubwa kiasi kwamba ikipigwa unahisi kupata kiharusi, utaacha tuuNiliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Maticha WENGI ni wajinga wajinga sanaHao walikua walimu wa zamani huko.Tembelea shule kama utawaona.Tukiwa na vile vishkwambi tunaeza mpakua hata mkeo
Sasa kuukimbia kwake yeye kunatuhusu nini sisi!?Maticha WENGI ni wajinga wajinga sana
Saiv mnabeba mabegi makubwaaa kumbe ndan kuna kishkwambi
Kuna mwenzenu huku kakimbia kazi kisa amekula hela ya ujenzi wa choo cha shule