Nimeweza kuacha Pombe sasa, Betting ndo nataka nitoke

Niliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.

Leo kuna Odd za kushiba mkuu njoo nikupe mkeka wa behewa la mechi kumi 😜acha habari zako hzo
 
Niliamua kuacha pombe kwa uzuri. Nilikunywa miaka 10 nikastafu. Shida inayonikabili ni kubeti. Bila mkeka siku haiendi.Imekua urasimu wa hali ya juu. Nataka kuacha ila inabidi sijui nifanyeje wakuu.
Tupo wote
 
Anza kubet weekend kwa weekend, weka stake kubwa kubwa kiasi kwamba ikipigwa unahisi kupata kiharusi, utaacha tuu
 
Simaanishi pombe ni mbaya.Niliamua kuacha mwenyewe
 
Hao walikua walimu wa zamani huko.Tembelea shule kama utawaona.Tukiwa na vile vishkwambi tunaeza mpakua hata mkeo
Maticha WENGI ni wajinga wajinga sana
Saiv mnabeba mabegi makubwaaa kumbe ndan kuna kishkwambi

Kuna mwenzenu huku kakimbia kazi kisa amekula hela ya ujenzi wa choo cha shule
 
Sasa kuukimbia kwake yeye kunatuhusu nini sisi!?
 
Back
Top Bottom