Nimewota Usiku

Nimewota Usiku

Hiyo ndoto iliwahi nisumbua katika siku kadhaa za maisha yangu.Tafsiri sahihi sina ila nakumbuka mke wangu aliondoka ghafla na ndipo ndoto kama hiyo ikakoma.Kiufupi utaondokewa na mke kama wewe ni me na vise versa.
 
Shehe mbona hii kazi mkuu unataka kutupa,umeshaambiwa bonyeza we kazi yako ni kubonyeza mengine utajuwa ukishapabonyeza,ok angalia hii [emoji116]kumjibu mtu bonyeza hapo nilipozungushia kijiduara kisha itakuja kama hii picha ya pili utaandika unachotaka kumjibu hapo nilipoandika kawaida then bonyeza juu pale nilipopazungushia kiduara picha ya tatu ili kupostView attachment 931422View attachment 931424View attachment 931431
Note:Hii ni kama unatumia app ya JF japo nina uhakika ndiyo unayotumia kama unatumia browser sema usaidiwe tena.
Nirikuaidi nitanjarimbu kaka yagu sijuyi kama nimepatiya/
 
Back
Top Bottom