Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Pembe za panz hamuka asubui imefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu mwandiko inaonekana una mafua.Kunywa maji mengi,muombe Mola utapona.Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
HahahahahahahahaJamaa naskia kashavuta demu kutoka jf na hzi swaga zake...
Kanitumia pm screenshots ...
Aahh nimecheka sana
Tutunzie jamaa etu ...Hahahahahahahaha
Mimi huyo lol
HahahahahaTutunzie jamaa etu ...
Asije leta uzi wa kuumizwa ...
Uwii na mafua yake ...
Tutacheka sana
Sawa tunamsubiria ahamkeHahahahaha
Im kidding bwana
Ni lafiki yagu tu (in his voice)
Kahamuka rabda kasusa tu uzi wakeSawa tunamsubiria ahamke
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Subira hajamboNirikua nakamuwa ngombe ndiyo mana?