Nimeyakanyaga mwezenu nimekutana na mke wa mtu katika harakati za kutaka kutogoza mumeo kasikia yote!

Shida vijana mnajikuta vichwa vidogo vina macho kila unachoona unatamani 🤣🤣Tuambie kabisa msiba wako utakua wapi tuje kufinya mpunga
 
Si upige Simu kwa mwenyekiti wa CCM alimalize hili unakwama wapi ndugu yangu
 
Kwan una kosa gan mpak ukimbie? Kumuuliza mtu kama ana mtu ni kosa?

Anyway, kimbia mgahawa jirani nunua kabisa mlenda wa vuguvugu
😆😆😆😆We jamaa umeanza kwa mabavu ila ulivyomalizia sasa hahaha!
 
Kiingereza unaiandikaje hii Madam Hannah ?

Nakumiss 😃😃😃
Wewe ile siku niliomba unifundishe ile kitu namna ya kutumia ukaniambia niiulize google sio….. Likewise Manyanza.

Hahahah haya asante kwa kunimiss😂
 
Kitu umekosa ni akili.
 
Wewe ile siku niliomba unifundishe ile kitu namna ya kutumia ukaniambia niiulize google sio….. Likewise Manyanza.

Hahahah haya asante kwa kunimiss😂
Jamani ulivyo mkaleee hivi unashindwa kutumia kweli ? 🤣🤣🤣

Wengine tulisoma shule Kiingereza kilikuwa hakuna nisaidie basi hiyo sentence uliyoandika kwa Kiingereza 😃😃😃
 
Usiog
Usiogope mkabili kwani vipi bhana demu si kasema mahusiano hayako kivile ASA uogope nn Mkuu nenda shughulikia gari ila uwe tyr kwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…