Nimeyakumbuka madera ya yanga nikabaki kucheka

Nimeyakumbuka madera ya yanga nikabaki kucheka

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu.

Ghafla designer wao akaja na madera ,wanazi wakayatetea ila rohoni ilikuwa inachoma.
Nakumbuka yule mchezaji wao mpemba Calinyos alitinga moja akiwa chumbani na wema sepetu

Uto kwenye jezi mambo yanachekesha sana
 
Back
Top Bottom