Nimeyakumbuka Matokeo haya ya SIMBA GROUP STAGE 2019

Nimeyakumbuka Matokeo haya ya SIMBA GROUP STAGE 2019

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
CODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018

107827609_10220882308584703_8882145974007185634_n.jpg
 
Na nyie pigeni ndumba 😂
Yanga tuna akili timamu hatuwezi kuwa kama Makolo yaan wanachawia then wanafungua, wanafedheheka na wanapigwa faini.. ni Timu Kichaa isiyojielewa ndo inaweza kukubali scenerios Kama hizi..
 
Yanga tuna akili timamu hatuwezi kuwa kama Makolo yaan wanachawia then wanafungua, wanafedheheka na wanapigwa faini.. ni Timu Kichaa isiyojielewa ndo inaweza kukubali scenerios Kama hizi..
Unajifariji tu utopolo ila ukweli mnatamani rank za Mnyama. Halafu utopolo ilipigwa faini kwa kuingia uwanjani kwa Mkapa kupitia geti lisilo rasmi, uto ni uto hawajawahi kuwa na akili.
 
Yanga tuna akili timamu hatuwezi kuwa kama Makolo yaan wanachawia then wanafungua, wanafedheheka na wanapigwa faini.. ni Timu Kichaa isiyojielewa ndo inaweza kukubali scenerios Kama hizi..
Kwani huko utopoloni vichaa mmepungua?
 
Attachments

  • FB_IMG_16558201034602352.jpg
    FB_IMG_16558201034602352.jpg
    39.9 KB · Views: 5
Co wehu tu hawa ni wendawazimu
Alafu kupitia code iyo iyo 255 msimu ulifuata simba akapeleka timu nne ikiwemo na chama lqko la utopolon mkaenda kuaibisha taifa kwa kufungwa hata na Gormahia tena nje ndani ...yaan wehu sanaaa nyie
 
Mwanaume lazima ukutane na misuko suko ila mwisho wa siku unatoboa.
 
Yani mke anamcheka mumewe akiwa safarini akitafta mkate wa kila siku!!!sijapenda
 
Back
Top Bottom