Nimeyumba kiuchumi. Naombeni mnitajie Guest House za kulala kwa Tsh 4,000 au chini yake

Nimeyumba kiuchumi. Naombeni mnitajie Guest House za kulala kwa Tsh 4,000 au chini yake

Wazo langu, kwa kuwa huwezi kupata fedha kwa mkupuo ukalipa chumba kwa mwezi,. Pambana kigumu iwe unalala pale ubungo stend huku ukisevu pesa, km una uwezo wa kuspend 4,000 kwa siku kwa kulala basi ukijibana bana itafika 120,000 kwa mwezo, then tafuta room za 30000 unaoomba kulipa miez 3 dalali unakomaa naye unampa hata 10. Then maisha yanaanza hapo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha uzi kiko wazi!

Nimepata teteleko la kimaisha upande wa uchumi. Naombeni mnitajie Nyumba za kulala wageni kwa pesa kiasi cha shilingi elfu nne au chini ya hapo kwa hapa Dar!

Asanteni!

Mwenye kibarua naomba tuwasiliane pia.
Nenda kwa mfuga mbwa manzese na unaweza kupata na mke pia.
 
Pole sana ndugu.nenda kaliakoo jangwani mwisho wamtaa wa muheza au jangwani mito ya baraka kule kuna vyumba mnalala kwa makundi.kwa wiki unalipa 3000 mpaka 3500.ila ni kama huna familia pia kumbuka hapo unaitajika kuingia na boksi la kulalia tu.ukiingia na begi au godolo utaibiwa.chumba kimoja watu wanao lala ni 10 mpaka 15.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nakushauri tafuta kazi ya ulinzi. uwe zako lindo usiku hamna kulala huku unatafakari maisha. ukipata msharaha wako kapange.
Uzuri kazi ya ulinzi hata ukiomba saa hii jioni unaanza
 
Back
Top Bottom