Nimezaa na Mwanamke kutoka familia ya washirikina, najitoaje?

Mfukuze kiakili mwambie nenda ukasalimie kwenu wiki ijayo mimi nakuja akisepa naww kama hujajenga timua hamia sehemu nyengine. Wachawi sio watu wazuri kadri unavyozidi kukaa nae ndio fursa zaidi kwao kutaka kukuuwa au kukudhuru au kuharibu mipango yako na familia yako. Kama wewe ni mbambe mtimue kwa nguvu mpe baadhi ya vipande vya mali afu tembea. Huwezi ishi na tatizo ndani afu bado ukaendelea kulifuga mnakua mnaishi kwa kuviziana sasa.
Mchawi hakimbiwi kiivo, solution ni ibada na kuivunja hiyo madhabahu iliyoingilia familia yake kwa maombi na sadaka maalumu..kila kitu kitakuwa sawa.
 
Unachotakiwa kufanya ni kuivunja hiyo madhabahu kwa maombi na sadaka otherwise utamkimbia na kuendelea kuishi kama ndege coz mchawi hakimbiwi hata uende wapi atakudaka tu.
 
Siwez ongea au shauri lolote kuhusu ushirikina kwakuwa siwezi kujua ulijuaje kwamba ni washirikina lakini pia wanajme siku hizi wamejaa nongwa sana hasa linapokuja swala la ndoa. mrangi hapa ngoja niwe ndugu msomaji.
 
Kama familia ni lazima mufanye ibada pamoja nawewe jikite zaidi katika maombi hakuna mchawi anayemuweza mtu anayemuomba Mungu
 
Habari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012 nikapata mwanamke ambaye nilimkuta na mtoto mmoja ,na sasa tumeshazaa watoto watatu.

Shida yangu ni kuwa kwao huyu binti upande wa Mama yake ni wachawi sana. Bibi yake alishawahi kumdhuru mwanangu wa kwanza mara mbili tukaponea kwa waganga.

Na toka hapo nikapiga marufuku watoto wangu kukanyaga kwao. Siku za karibuni hasa baada ya kutumia Tiba ya Chumvi kama ilivyoelekezwa na baadhi ya members humu jukwaani,nahisi kama nimezinduka fulani naye ameanza kusema kuwa sina mapenzi naye na kuna kipindi anataka kuondoka (nahisi anatishia kwani haondoki).

Binafsi nina amani sana na wanangu lakini yeye hana amani kabisa na kila siku ni malalamiko tu. Lakini sababu kubwa ya malalamiko ni kuwa nimekata mirija yake mingi ya fedha nilizokuwa nampatia yeye na ndugu zake na pia nimemkataza mawasiliano na ndugu zake ambao nahisi ndio wanaopitisha ushirikina kwaangu,

Hili la mawasiliano limeshindiakana kwani nimekuja kugundua kuwa anawasiliana nao kwa siri,lakini pia ndugu zake ikiwamo mama yake wameanza chuki kubwa kwangu na nahisi nashambuliwa sana kishirikina,hatua nilizochokua kwanza ni kuzidisha ibada na sala,pili natumia tiba ya chumvi.

Ushauri naouomba kwenu wanaJamii Forums,nifanyeje niachane na huyu mwanamke bila kuleta mtafaruku kwenye familia yangu tena mimi ndio nibaki na watoto kwani akienda nao kwao nahisi wanangu watadhurika au nao wataingizwa kwenye uchawi.

Nawasilisha
Japo Mapenzi ni ya wawili, ila ndugu nao Wana nafasi yao. Kama hupatani na familia, ni swala la muda tu, hata yeye hutopatana nae
 
Wanakuja, mimi kama naamini ni mchawi ningeanza mkakati wa kuachana bila kuangalia mazara
 
Chukua watoto wako wakiume hao wakike mpe kama zawad , kwan watakuja kuwa wachaw wabadae
 
Mfukuze kiakili mwambie nenda ukasalimie kwenu wiki ijayo mimi nakuja akisepa naww kama hujajenga timua hamia sehemu nyengine. Wachawi sio watu wazuri kadri unavyozidi kukaa nae ndio fursa zaidi kwao kutaka kukuuwa au kukudhuru au kuharibu mipango yako na familia yako. Kama wewe ni mbambe mtimue kwa nguvu mpe baadhi ya vipande vya mali afu tembea. Huwezi ishi na tatizo ndani afu bado ukaendelea kulifuga mnakua mnaishi kwa kuviziana sasa.
Staili ya zamani sana ya kuacha hiyo [emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi hawaachwi hivyo
Zamani ilikuwa rahisi kwasababu walikuwa wanatoka mikoani mbali na maisha yalikuwa magumu mno hawana nauli ya kurudi hadi utume wewe
 
Wanandoa njooni huku mwenzenu kakwama.

Pole sana Bro, mimi ninachoweza kushauri ni kuvunja iyo ndoa na kuendelea na maisha mengine.

Pole kwa maswahibu Mkuu
 
Huyooooo ni chaguo lakooooo,chaguo lakoooo..hata kama ni mchawiii chaguo lakooooo[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Habari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012 nikapata mwanamke ambaye nilimkuta na mtoto mmoja ,na sasa tumeshazaa watoto watatu.

Shida yangu ni kuwa kwao huyu binti upande wa Mama yake ni wachawi sana. Bibi yake alishawahi kumdhuru mwanangu wa kwanza mara mbili tukaponea kwa waganga.

Na toka hapo nikapiga marufuku watoto wangu kukanyaga kwao. Siku za karibuni hasa baada ya kutumia Tiba ya Chumvi kama ilivyoelekezwa na baadhi ya members humu jukwaani,nahisi kama nimezinduka fulani naye ameanza kusema kuwa sina mapenzi naye na kuna kipindi anataka kuondoka (nahisi anatishia kwani haondoki).

Binafsi nina amani sana na wanangu lakini yeye hana amani kabisa na kila siku ni malalamiko tu. Lakini sababu kubwa ya malalamiko ni kuwa nimekata mirija yake mingi ya fedha nilizokuwa nampatia yeye na ndugu zake na pia nimemkataza mawasiliano na ndugu zake ambao nahisi ndio wanaopitisha ushirikina kwaangu,

Hili la mawasiliano limeshindiakana kwani nimekuja kugundua kuwa anawasiliana nao kwa siri,lakini pia ndugu zake ikiwamo mama yake wameanza chuki kubwa kwangu na nahisi nashambuliwa sana kishirikina,hatua nilizochokua kwanza ni kuzidisha ibada na sala,pili natumia tiba ya chumvi.

Ushauri naouomba kwenu wanaJamii Forums,nifanyeje niachane na huyu mwanamke bila kuleta mtafaruku kwenye familia yangu tena mimi ndio nibaki na watoto kwani akienda nao kwao nahisi wanangu watadhurika au nao wataingizwa kwenye uchawi.

Nawasilisha
The road to hell is paved
 
Mkuu unatumiaje Tibaa ya chumvi?
Nijibu hili Kwanza Kama namm ninapitia Hali inayoendana na hiyo nmejenga bila kujua mtaa ambao unawashirikina balaa
Akijibu nitag mkuu
 
Back
Top Bottom