BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Mchawi hakimbiwi kiivo, solution ni ibada na kuivunja hiyo madhabahu iliyoingilia familia yake kwa maombi na sadaka maalumu..kila kitu kitakuwa sawa.Mfukuze kiakili mwambie nenda ukasalimie kwenu wiki ijayo mimi nakuja akisepa naww kama hujajenga timua hamia sehemu nyengine. Wachawi sio watu wazuri kadri unavyozidi kukaa nae ndio fursa zaidi kwao kutaka kukuuwa au kukudhuru au kuharibu mipango yako na familia yako. Kama wewe ni mbambe mtimue kwa nguvu mpe baadhi ya vipande vya mali afu tembea. Huwezi ishi na tatizo ndani afu bado ukaendelea kulifuga mnakua mnaishi kwa kuviziana sasa.
Japo Mapenzi ni ya wawili, ila ndugu nao Wana nafasi yao. Kama hupatani na familia, ni swala la muda tu, hata yeye hutopatana naeHabari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012 nikapata mwanamke ambaye nilimkuta na mtoto mmoja ,na sasa tumeshazaa watoto watatu.
Shida yangu ni kuwa kwao huyu binti upande wa Mama yake ni wachawi sana. Bibi yake alishawahi kumdhuru mwanangu wa kwanza mara mbili tukaponea kwa waganga.
Na toka hapo nikapiga marufuku watoto wangu kukanyaga kwao. Siku za karibuni hasa baada ya kutumia Tiba ya Chumvi kama ilivyoelekezwa na baadhi ya members humu jukwaani,nahisi kama nimezinduka fulani naye ameanza kusema kuwa sina mapenzi naye na kuna kipindi anataka kuondoka (nahisi anatishia kwani haondoki).
Binafsi nina amani sana na wanangu lakini yeye hana amani kabisa na kila siku ni malalamiko tu. Lakini sababu kubwa ya malalamiko ni kuwa nimekata mirija yake mingi ya fedha nilizokuwa nampatia yeye na ndugu zake na pia nimemkataza mawasiliano na ndugu zake ambao nahisi ndio wanaopitisha ushirikina kwaangu,
Hili la mawasiliano limeshindiakana kwani nimekuja kugundua kuwa anawasiliana nao kwa siri,lakini pia ndugu zake ikiwamo mama yake wameanza chuki kubwa kwangu na nahisi nashambuliwa sana kishirikina,hatua nilizochokua kwanza ni kuzidisha ibada na sala,pili natumia tiba ya chumvi.
Ushauri naouomba kwenu wanaJamii Forums,nifanyeje niachane na huyu mwanamke bila kuleta mtafaruku kwenye familia yangu tena mimi ndio nibaki na watoto kwani akienda nao kwao nahisi wanangu watadhurika au nao wataingizwa kwenye uchawi.
Nawasilisha
Habari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012 nikapata mwanamke ambaye nilimkuta na mtoto mmoja ,na sasa tumeshazaa watoto watatu.
Shida yangu ni kuwa kwao huyu binti upande wa Mama yake ni wachawi sana. Bibi yake alishawahi kumdhuru mwanangu wa kwanza mara mbili tukaponea kwa waganga.
Na toka hapo nikapiga marufuku watoto wangu kukanyaga kwao. Siku za karibuni hasa baada ya kutumia Tiba ya Chumvi kama ilivyoelekezwa na baadhi ya members humu jukwaani,nahisi kama nimezinduka fulani naye ameanza kusema kuwa sina mapenzi naye na kuna kipindi anataka kuondoka (nahisi anatishia kwani haondoki).
Binafsi nina amani sana na wanangu lakini yeye hana amani kabisa na kila siku ni malalamiko tu. Lakini sababu kubwa ya malalamiko ni kuwa nimekata mirija yake mingi ya fedha nilizokuwa nampatia yeye na ndugu zake na pia nimemkataza mawasiliano na ndugu zake ambao nahisi ndio wanaopitisha ushirikina kwaangu,
Hili la mawasiliano limeshindiakana kwani nimekuja kugundua kuwa anawasiliana nao kwa siri,lakini pia ndugu zake ikiwamo mama yake wameanza chuki kubwa kwangu na nahisi nashambuliwa sana kishirikina,hatua nilizochokua kwanza ni kuzidisha ibada na sala,pili natumia tiba ya chumvi.
Ushauri naouomba kwenu wanaJamii Forums,nifanyeje niachane na huyu mwanamke bila kuleta mtafaruku kwenye familia yangu tena mimi ndio nibaki na watoto kwani akienda nao kwao nahisi wanangu watadhurika au nao wataingizwa kwenye uchawi.
Nawasilisha
Staili ya zamani sana ya kuacha hiyo [emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi hawaachwi hivyoMfukuze kiakili mwambie nenda ukasalimie kwenu wiki ijayo mimi nakuja akisepa naww kama hujajenga timua hamia sehemu nyengine. Wachawi sio watu wazuri kadri unavyozidi kukaa nae ndio fursa zaidi kwao kutaka kukuuwa au kukudhuru au kuharibu mipango yako na familia yako. Kama wewe ni mbambe mtimue kwa nguvu mpe baadhi ya vipande vya mali afu tembea. Huwezi ishi na tatizo ndani afu bado ukaendelea kulifuga mnakua mnaishi kwa kuviziana sasa.
Nakazia[emoji3579][emoji373]tuseme ni kaka yako amefanyiwa hivi tena kaka yako wa damu baba mmoja mama mmoja vipi ungeshauri hivi???
Dah hii dunia hiiMtafune Huyo dogo uliomkuta nae(mwanao wa kambo)
The road to hell is pavedHabari za siku nyingu wandugu, Mwaka 2010 nilioa mwanamke tuliyedumu naye uchumba takribani miaka 5 tena ndoa ya kanisani lakini huyo Mke aliniacha naye akakimbila USA, baada ya hapo mwaka 2012 nikapata mwanamke ambaye nilimkuta na mtoto mmoja ,na sasa tumeshazaa watoto watatu.
Shida yangu ni kuwa kwao huyu binti upande wa Mama yake ni wachawi sana. Bibi yake alishawahi kumdhuru mwanangu wa kwanza mara mbili tukaponea kwa waganga.
Na toka hapo nikapiga marufuku watoto wangu kukanyaga kwao. Siku za karibuni hasa baada ya kutumia Tiba ya Chumvi kama ilivyoelekezwa na baadhi ya members humu jukwaani,nahisi kama nimezinduka fulani naye ameanza kusema kuwa sina mapenzi naye na kuna kipindi anataka kuondoka (nahisi anatishia kwani haondoki).
Binafsi nina amani sana na wanangu lakini yeye hana amani kabisa na kila siku ni malalamiko tu. Lakini sababu kubwa ya malalamiko ni kuwa nimekata mirija yake mingi ya fedha nilizokuwa nampatia yeye na ndugu zake na pia nimemkataza mawasiliano na ndugu zake ambao nahisi ndio wanaopitisha ushirikina kwaangu,
Hili la mawasiliano limeshindiakana kwani nimekuja kugundua kuwa anawasiliana nao kwa siri,lakini pia ndugu zake ikiwamo mama yake wameanza chuki kubwa kwangu na nahisi nashambuliwa sana kishirikina,hatua nilizochokua kwanza ni kuzidisha ibada na sala,pili natumia tiba ya chumvi.
Ushauri naouomba kwenu wanaJamii Forums,nifanyeje niachane na huyu mwanamke bila kuleta mtafaruku kwenye familia yangu tena mimi ndio nibaki na watoto kwani akienda nao kwao nahisi wanangu watadhurika au nao wataingizwa kwenye uchawi.
Nawasilisha
Akijibu nitag mkuuMkuu unatumiaje Tibaa ya chumvi?
Nijibu hili Kwanza Kama namm ninapitia Hali inayoendana na hiyo nmejenga bila kujua mtaa ambao unawashirikina balaa