nimezaa na shemeji yangu

acha kuwatuhumu warabu bure,kwa desturi za waarabu na kwa sheria ya dini ya kiislam nidhambi kubwa aliotenda huyudada nashemejiyake,dada alitakiwa atulie kwamumewe nakama ameona hapatiwatoto angeamua moja kuomba talaka au kuvumilia ale mapesa akose watoto,wametenda dhambi kubwa.
 
Hii sredi inapaswa kuchangiwa na jinsia iliyokuwa na siku yake ya kimataifa hapo juzi.

Sisi wenye siku 364 kwa mwaka hatutakiwi hapa!

Kinu anaendeleza sherehe kwa kutuletea hadith hadith........

Hivi babu lakini.. hivi unajua kuwa Keren_Happuch amekumiso??!!!
 
Astaghafirullahi laadhiymu du! Inaniuma sana kwa dhambi uliomfanyia sahihi! .......... Hapa dada hakuna excuse yoyote! Umetenda dhambi nzito! Hakuna lolote lakusema eti uonekane huna makosa! Wewe sio muaminifu hata chembe na siamini kama hilo umelifanya kwa huyo shemejio tu! Nadhani kuna mwingine/wengine umewahifadhi ili usionekane mchafu!.............. USHAURI : nakushauri usimwambie mumeo ila utubu ktk nafsi yako na uitakase nafsi yako uwe msafi na roho na mwili wako tafadhari muogope mungu wako! Kumwambia mume wako hakutakusaidia lolote zaidi ya kukupa matatizo makubwa! La msingi tubu haraka na rudi kwa mungu na usimuhadithie yoyote tena huu uchafu!
 
Duh!!!! Haya bwana na mimi natunga story yangu jiandaeni kuchangia!!!
 
Mwe! Hii ilikuwa hadisi hadisi njoo. Siamini unaweza kufanya hayo. Duuuhhhh!!!! Ama kweli kinu....
 
Kinu anaendeleza sherehe kwa kutuletea hadith hadith........

Hivi babu lakini.. hivi unajua kuwa Keren_Happuch amekumiso??!!!

Najua thana. tatizo huyu Keren Hajui kuwa babu ammemisi zaidi yake.

Keren hata kule mtaa wa pili haonekani. Damn!
 
Mungu atakulaani kwa hilo na kosa ulilofanya halitokaa lisamehewe...To HELL
 
weye ni zaidi ya shetani,peleka kwa mashetani wenzako U-turn watakusaidia cha kufanya maana hata sisi tuso na dini umetuzidi mizungu:hand:
shosti apeleke kwa mashetani wenzake u-turn u-turn ipi hiyo? Au yapale mwanza kwenye ile stori yakufikirika kuwa kuna jini linajiuza eti ni changudoa?au umekusudia u-turn ipi?
 
Sishangai hasa kina dada,mimi kuna siku nilitamkiwa na wife kuwa anataka kuzaa na mme wa nje,nilivyofuatilia nikakuta hata mama yake wife alizaa na mwanamme akiwa ndani ya ndoa,It is a shme tupu
 
Shemeji shemejiii usiku mwazima taaa...
Shemeji kula kaka hayupo akirudi sitamwambia!!!

Mwaya we chuna tu mbona midume inazaa nje ya ndoa inatuficha wake zao :decision::decision::decision:
MR nawe unaunga mkono vitu kama hivi ???
 
Najua thana. tatizo huyu Keren Hajui kuwa babu ammemisi zaidi yake.

Keren hata kule mtaa wa pili haonekani. Damn!

ahaaa babu jamani... si unajua Keren yuko nyumbani, na unakufahamu!!! ungeweza tu kupitia ukamsalimu na yeye roho yake ikafurahi kumwona babu yake...lol!
 
Majimshindo na uporoto mmesahau kuwa kuna watu huwa wanapata matatizo yanayopelekea ashindwe kuzaa.
Inawezekana hao watoto aliwapata kabla tatizo halijamkumba.
Kinu, hebu tuthibitishie hili, hawa watoto 6 aliwapata vipi? Vyenginevyo hapa kumtanda giza. Pengine mume wako anajijua hali yake na anapenda kusaidiwa kazi, kwake yeye "mtoto" ni mtoto tu" na kwake hakuna mwengine wa kumsaidia kama ndugu yake.
Vyovyote iwavyo dada, ikiwa sio hili tunalodhani hapa, jitayarishe na kifo. Mwarabu huyo (na wanaume wengi wangekuwa hivyo hivyo) hataridhika tu na kukuwacha bila ya kulipiza kisasi. Kimbia mbali sana au omba ardhi ipasuke. Pole sana kwa yanayokukabili na pia hongera kwa kula "uleda" na shemeji yako.
 
shosti apeleke kwa mashetani wenzake u-turn u-turn ipi hiyo? Au yapale mwanza kwenye ile stori yakufikirika kuwa kuna jini linajiuza eti ni changudoa?au umekusudia u-turn ipi?

hiyohiyo unayoijua mpendwa:wink2:
 
Uwezo wako wa kufikiria mdogo sana! Wewe ulikuwa unataka ushauri gani? Nani amekupa ushauri wa kumwambia mumeo! Ok fanya halafu uone!
 
hii ni habari ya kweli labisa na jamaa zangu nawaomba msinihukumu sana haya mambo yanatokea tu,mimi ninataka mtoto ningefanyaje sasa
Tatizo lako Kinu ulikuwa unataka yote, mtoto na mihela ya mwarabu. Ungechagua moja. Kama ulikuwa na shida ya mtoto, kwa nini usiombe talaka kabla ya kufanya uafiriti huu? Kama ulijua kuwa unachofanya ni sahihi, "kwa nini usimwombe ruhusa mume wako akuruhusu kuchakachuliwa?" Tena na ndugu yake?
Mimi sithubutu kukuhumu, kinyume chake ninakupa pole.
 
ukiangalia komentitu utajua kua kuna threads hua zinawakasirisha watu na nyingine zinawachallange(-ly or +ly)
 
Arafat umecheka tu! ........ Hebu sema usikike nini hisia yako juu ya hili?
 
Hapa umemtaja shemeji tu ila inaonekana watu kibao watakuwa wanaku download:A S 13:
 
Wenyewe wanajua wewe ndio juha.
Utamu upate wewe uje kutangaza jamvini. Hii story ungeweza kuifupisha lakini ulitaka kutonyesha kwamba wewe ndo unajua kuto mavituz, wala hauna lolote kujishebedua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…