acha kuwatuhumu warabu bure,kwa desturi za waarabu na kwa sheria ya dini ya kiislam nidhambi kubwa aliotenda huyudada nashemejiyake,dada alitakiwa atulie kwamumewe nakama ameona hapatiwatoto angeamua moja kuomba talaka au kuvumilia ale mapesa akose watoto,wametenda dhambi kubwa.Dah!Kitendo ulichokifanya hakikubaliki ktk jamii za kiafrika,au hao waarabu walipanga wote wakudinye ndio maana jamaa akamuachia nyumba mdogo wake ili mchakachuanè vzuri, wakati unatoa 2nda wala hukuomba ushauri leo kijiti kimekukatikia mara 2 ndio uje kuomba ushauri?