Inawezekana.
1. Sio kila changudoa hujiuza kwakua anapenda. kuna asilimia kubwa sana ya machangu hufabnya hivyo kutokana na ugumu wa maisha ila kiundani hawapendi hata kidogo. ni ile tu mtu anakosa altenative yakimaisha na wakati hua anakua na mahitaji ya kujitimizia.
2. Wapo ambao hujiingiza katika shughuli hizi kwa sbabu niliyoisema hapo juu lakini kama wakipata altenative wanaacha tena completely, hata hivyo wapo ambao wanaingia wakiwa hawana nia anayo bali ni shidatu, ila baada ya kuzoea wanajikuta kama wanakua addicted na wanapenda kazi yao hiyo. sasa hapa inategemea umekutana na yupi.
3. Mapenzi ni hisia na akili, lakini kwea kiasi kikubwa ni hisia. machangudoawanahisia kama kawaida. nilishasikia story kibao za machangu amabao unaweza kukutana nae siku ya kwanza ukamnunua ukaenda kupiga, lakini ikitokea akavutiwa na wewe anakua anakupa bila hata malipo. hiini ishara ya kua hata wao kuna wakati hua na hisia za kimapenzi.
Pili katika hili ni kua unaweza kumbadilisha tu mtizamo kabisa. mkakutana kama mteja na mtoa huduma lakini msi-treat kibuashara zaidi mkatreat kirafiki zaidi. sawa, at first hela utampa lakini on your privacy ukamfanyia vitu vingine vya kimahaba, care mbalimbali, zawadi, sometime unamlipa zaid ya makubaliano, sometime mnatoka bila ku do, sometimes mnazungumza habari tofauti kabbisa na ngono na kama upo siriaz sometmes unalala nae bila hata ku do hadi morning na chake unampa. ni njia tu za kisaiklojia ambazo zaweza kumbadilisha akajikuta anafall in love.
Angalizo: sio lazima kua njia hizi zitafaulu. uwezekano wa kufaulu upo lakini labda ni 40 kwa 60% or even ess than.
So try it at your own risk.