BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Sasa umeshindwa kwenda kwenye concert zake ukamwambia?
why mmeanzisha hii culture?
mwingine na Halima Mdee
hamuwezi kuwatafuta mkawaambia?
why mnakuja kutuambia sisi?
japokuwa kaumri kangu kameenda nimetokea kuzama kwa huyu mtoto.
una fuba........?
Msaada nimetokea kuzama kwenye mapenzi na huyu mrembo baby madaa kwake misisemi nimezama juu yake aliyekaribu nae au mwenye namba yake au rafiki yake naomba ampe ujumbe wangu kuwa nimezama juu yake .
​kwani ulikua hujui?!!
Mkuu kwani hujui huyu ndiye Bebi Madaa?
Aisee huyu Chalii tusipoandamana wanaweza kummaliza damu...
Wala,siku hizi kaacha!Hahahahaa,, Kumbe kale Kajamaa ni penda penda eeh?