Wakuu habari!.
Iko hivi mwakajana mwezi wa pili niliingia kwenye mahusiano na Binti mmoja ambaye tulidum takribani miez miwili tukaachana. Na chanzo Cha kuachana ni Mimi nilikuwa na mambo mengi.
Basi nikamsogezea namba jamaa angu akawasiliana naye mwishoe naye akaipiga na akakaa juu ya mawe.
Mwezi wa kumi na moja nilikutana naye yule Binti kanisani! Basi tukarudisha mahusiano na yakawa moto kweli! Na sikugusia habari za yule rafiki angu niliempa namba akaipiga.
Sasa round hii nimeshikika kweli kweli nampenda! Sijui nimepigwa juju. Nachomokaje hapa wakuu ukizingatia rafiki angu ashaipiga.
Ama kweli majuto ni mjukuu sijui kwa nn nilitoa namba.
Happy new year.