Nimezichungulia jezi za simba sports sijaridhika nazo

Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.

Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.

Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.

Wana simba punguzeni matarajio
Kaa kwa kutulia
 
Weka picha
 
UTOPOLO kwa kupenda KUJIDHALILISHA hamjambo.

Picha IPO wapi?????

Puuuumbafuuuuuu kabisaaa.
KABWILI FC.
 
Badala mnunue tiketi kwenda kwenye kitamasha chenu
 
Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.

Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.

Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.

Wana simba punguzeni matarajio
Tuliza Kinye 0 chako
 
Tupate burudani kidogo 😊🤓

Hiki kipande nakipenda......

Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa
Dr Matola PhD 😊
 
Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.

Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.

Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.

Wana simba punguzeni matarajio
Kama hazijatoboka tutazivaa hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom