Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Nazisubiria Ili nipate dekioWatu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.
Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.
Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.
Wana simba punguzeni matarajio