Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Nazisubiria Ili nipate dekioWatu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.
Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.
Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.
Wana simba punguzeni matarajio
nimeiona moja hapa imekaa kama bambino flani hivi...kwakweli!!!Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.
Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.
Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.
Wana simba punguzeni matarajio
Mtakuja kulia hapa jukwaani bora wangetuachia vunjabeiKaa kwa kutulia
Sawa mama yeyooTuliza kojo lako
tuliza hiyo skundu yako inayohema hema hapo
Mkuu subiria saa 1Kapicha tafadhali
Itasaidia nini?Bwana Andre-Pierre hivi nikikuambia SEEN and IGNORED ya hii post yako nitakuwa nimekosea?
Nani kakuambia mimi nashabikia huo upuuzi?Badala mnunue tiketi kwenda kwenye kitamasha chenu
Tuliza kishuzi hicho dadanguWatu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo.
Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni.
Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango.
Wana simba punguzeni matarajio
Jezi kali sana na tumezipenda.Wewe huna lolote hukuwa umeziona.Unaleta story za Secondari maneno matupu na ukataka tukuamini.Njooni mnishambulie sasa[emoji1787][emoji1787]