CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Nimezima na redio kabisa kuna jamaa anasema manara ndiye aliyeifanya simba kuwa kubwa na kwa sasa hamna kitu sababu mashabiki wengi wamemfata utopoloni.
Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa watangazaji inaanza lini jamani
Kipindi kinaitwa kipenga xtra zengwe, kama walevi vile
Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa watangazaji inaanza lini jamani
Kipindi kinaitwa kipenga xtra zengwe, kama walevi vile