CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Kuna conflict of interest na maoni yako au unataka kurudi kufanya kazi pale? Mtangazaji mzima unaamini simba imepoteza maelfu ya mashabiki sababu ya lile lopolopo?Sasa kuna tatizo gani kama ametoa maoni yake?! Bila shaka ulikua ni mjadala...Mzee una kwama wapi?
Alitapeli milioni 36 za wale jamaa wenye pafyumu huyu mtu alifikia hatua akasema wasanii wamemuambia hawataenda simba day kisa yeye hayupo sijui huwa anajiona nani ila kidogokidogo keshaanza kuona ukweli maana anaishi kwenye fantasy worldWatangazaji wengi wa hivi viredio fm uawajielewi labda ufm wanajitahidi kubalance Mambo. Kama manara ameipa umaarufu Simba kwanini asiende kuipa umaarufu kmc au mtibwa. Manara baada ya kuondolewa ukatibu uenezi wa ccm hakuna aliyemfatilia mpaka akaja Simba jiulize zile perfume zake alizozindua ziliishia wapi.
Ndiyo maana tulisema data za kujaza uwanja ni za uongo kama kweli tuzo ni ya nugaz kama issue ni taifa stars mechi ngapi za stars watu walikuwa hawajai na huyo manara yuko kwenye kamati ya hamasa ya starsTukiachana na chuki pamoja na roho za kisokolokwinyo, Haji Manara amefanya kazi kubwa kabisa ktk kuhamasisha watu wengi zaidi kulipenda soka na timu ya simba kwa ujumla
Alisifiwa sana alipokuwepo simba SC kwa Slogan zake za Do or Die, War in Dar and others
Mpira wa kitanzania ni wa hamasa, tofauti na hapo huwezi kuona Impact ya mashabiki kwa timu yenu
Tukitaka tusimuone Manara kama Shujaa kwenye mpira wetu wa kitanzania basi hatuna namna kuachana na Hamasa ktk mpira ila hilo ni gumu sana kutokana Nature ya mashabiki wa kibongo.
Ila naiona tuzo ikienda kwa Bongo zozo
NB:"Vya Kaisari tumpe Kaisari"
Naomba press ya Haji Manara ametoka Kuongelea kuhusu Slogan za hamasa kwa Taifa StarsNdiyo maana tulisema data za kujaza uwanja ni za uongo kama kweli tuzo ni ya nugaz kama issue ni taifa stars mechi ngapi za stars watu walikuwa hawajai na huyo manara yuko kwenye kamati ya hamasa ya stars
Alisahau tu kuweka slogan kwenye zile pafyumu huo ushawishi wa yeye kuhamisha maelfu ya watu toka simba kwenda utopolo ulishinidkanika kwenye pafyumu iliyokuwa na jina lake?Naomba press ya Haji Manara ametoka Kuongelea kuhusu Slogan za hamasa kwa Taifa Stars
Aya sawaAlisahau tu kuweka slogan kwenye zile pafyumu huo ushawishi wa yeye kuhamisha maelfu ya watu toka simba kwenda utopolo ulishinidkanika kwenye pafyumu iliyokuwa na jina lake?
Sasa alikuwa anafanya kazi gani kwenye hiyo kamati ya uhamasihaji wa taifa stars kama alishindwa kujaza uwanja ? maana mnatuaminisha bila yeye simba washabiki hawendi uwanjani wala kuipenda team yao, this is pathetic
Ni wapi nimesema naamini hayo uliyosema kwamba Simba imepoteza maelfu ya mashabiki?! Mkuu usinilishe maneno, After all, kwani nikitaka kurudi kuna tatizo lolote?!Kuna conflict of interest na maoni yako au unataka kurudi kufanya kazi pale? Mtangazaji mzima unaamini simba imepoteza maelfu ya mashabiki sababu ya lile lopolopo?
namaanisha huyo mtangazaji unayemtetea ndiye aliyesema, we rudi tu hakuna tatizo tena utakuwa umesaidia kurudisha uweledi kwenye ile station maana enzi zenu ilikuwa na hadhi siyo ujinga ulioko siku hizi na kwa bahati mbaya na wewe inatetea upuuzi waoNi wapi nimesema naamini hayo uliyosema kwamba Simba imepoteza maelfu ya mashabiki?! Mkuu usinilishe maneno, After all, kwani nikitaka kurudi kuna tatizo lolote?!
KmC mbali, mbona huko aliko hajaifanya kama simba? Yaani waende robo fainal club bingwa.Watangazaji wengi wa hivi viredio fm uawajielewi labda ufm wanajitahidi kubalance Mambo. Kama manara ameipa umaarufu Simba kwanini asiende kuipa umaarufu kmc au mtibwa. Manara baada ya kuondolewa ukatibu uenezi wa ccm hakuna aliyemfatilia mpaka akaja Simba jiulize zile perfume zake alizozindua ziliishia wapi.