duh mkuu inaonyesha unakula sana mapaka (changus)
kwanza hapa maadili ya kazi hayakuzingatiwa
hata kama ana tatizo na ana fanya vitendo hivyo kweli, ni suala baina ya mgonjwa na daktari/mhudumu wake, sio kwenda kumwambia mume.
itifaki ya tiba haikuzingatiwa.

hao ma nurse wasijifanye wanajua sana wakakalia watu ushuhuda bila ya kufanya vipimo.
sishangai kuwa wamekurupuka tu kwa kuwa wameona 'dalili' kama za hao wengine.
hatuna uhakika na watoto tunaopewa huko hospitali kuwa ni wetu kweli kwa uzembe uliokithiri, itakuwa kauli tu za ma nurse!
ma nurse wa bongo wazushi bujibuji jua hilo.
usije ukakaa na roho nyongo bure kumbe mkeo wala hajafanya baya.
huh! pengine kazaliwa na tatizo hilo jee?
mkuu bilisi huyo anataka kuingia kwenye ndoa yako. Hala hala
Buji lini ulioa bila mi chelulute kujua?lol acha urongo!kama umekuta mkeo tigo hakuna basi mshukuru Mungu pengine ndo kilema chake hicho,watu wasianze kumwazia vby hapa bure,mbn wengine weengi wanavilema bali hawajijui?wengine chururu imepinda,wendine imekaa kama upinde,wengine kama inajipu mbn hawajisemi au coz hawajuhi kama ni kasoro?ebu muache mama wa watu ale mtori mwingi kurudisha afya kwa kazi ngum.
walimwambia mume sababu wanajua huyo mume ndo aliyemfanya hivyo, mbona hakuambiwa babake au kakake? useme imekula kwake huyo mgonjwa sababu mumewe siye aliyefanya hivyo
We...yule nliyechangia mkono hajambo?
Buji lini ulioa bila mi chelulute kujua?lol acha urongo!kama umekuta mkeo tigo hakuna basi mshukuru Mungu pengine ndo kilema chake hicho,watu wasianze kumwazia vby hapa bure,mbn wengine weengi wanavilema bali hawajijui?wengine chururu imepinda,wendine imekaa kama upinde,wengine kama inajipu mbn hawajisemi au coz hawajuhi kama ni kasoro?ebu muache mama wa watu ale mtori mwingi kurudisha afya kwa kazi ngum.
hiyo si ethics za kazi yao. Hata wakijua mtu aliyekuambukiza ugonjwa (tuchukue mfano UKIMWI) hawaruhusiwi kumwambia huyo mtu kuwa na wewe umeambukizwa.
Ukikutwa na maradhi hata ya kuambukiza ambayo unaweza kumuathiri mwenzio kwa nchi zinazofata ethics za tiba, utashauriwa umwambie mwenzio, lakini hawawezi kumuita na kumwambia.
Na ndo maana baada ya kuambiwa hospitali kuwa una maradhi na ukamuambukiza mumeo/mkeo/mpenzi wako, utakae shitakiwa ni wewe uliyeambukiza wala daktari haingii kwenye kesi kwa sababu kazi yake INAMKATAZA kujihusisha na mtu asiye kuwa mgonjwa wake moja kwa moja.
nafikiri nimeeleweka.
ntakuchapa kwani mi naitwa we?hajambo anakupa hi
Mwaaaaaah.......:smile-big:
wambie hasa
kuna watu wamezaliwa na viungo vya uzazi vya wote wanawake na wanaume, itakuwa kuzaliwa mlango wa uwani uwazi!
kama hajaulizwa akakiri, maneno ya nurse pekee si ya kuzingatiwa
na wewe Asprin..............no nyingi vipi? unaweza kumkalia ushahidi wewe mbele ya Bwana kuwa katenda? 😛