bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Usiwaamini sana hao manesi wewe mpokee mkeo kwa upendo na bashasha zote kwa kukuletea binti mzuri halafu akishapona mtakapo anza kuchakachuana basi wewe hapo ndipo upime OIL kama ipo ana haipo ndipo utajua ni kweli ulio ambiwa na manesi ana walikosea wakakupa habari za mgonjwa mwengine!
sorry BT, ANGALIZO: Kule huwa hawapimi OIL, ila wanaangalia kama KISAMVU kimetwangika kikaiva au bado.