Nimezodolewa na manesi

Nimezodolewa na manesi

duh :doh:.. msamehe.. ibaki story tu! kubali kshafa za manesi msitiri mkeo kutokana na hiyo aibu..
 
Mhhh.....! Aidha, pole sana, na umuombe Mungu akupe nguvu na faraja kwa kipindi hiki kigumu....! Lakini nina shaka na ukweli wa tukio hili, kwa maana ingelikuwa ni mimi hata nisingekuwa na nguvu ya kuandika kama wewe ulivyoweza....! Lakini pia kaa chini, utulie kama mwezi bila kutoa maamuzi yoyote, hadi upate nguvu ya kufikiria juu ya tukio hili....!
Hapo ulimaanisha faraja kweli au busara........... mi ningekaa kimya kwa muda
wanasema silent is a big weapon ............
 
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.

ungewakomalia...hao manesi waache ujinga,
kama ni kinyesi kutoa wakati wa kujifungua ni jambo la kawaida,
ile myth kuwa ukifanya hivyo,basi ushatigoliwa ni ujinga,
kama umepiga lishe kabla ya kujifungua...ile force ya kupush mtoto lazima kinyesi kikutoke...

unless hii stori ni ya uongo,mie siamini mtu anaweza kukukomalia kisa umemtigo mkeo,
hii si kuact professionally,
yes tigo ni moja ya starehe and i believe up to 20% of us tunapractise hii kitu :behindsofa:
:behindsofa:
:smile-big::smile-big:
 
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?

Unajuaje wauguzi wapo sahihi? yawezekana mkeo aumwa aina fulani ya fistula.......................chukua hatua ya kutafuta ushauri wa kitaalamu au vinginevyo utafikia maamuzi yasiyo ya kitaalamu..........................
 
Kutokwa na kinyesi wakati wa kujifungua si jambo geni. Mm nimeshashuhudia na kuxmuliwa na watu wengi tu kuwa walishatokewa na hali hiyo na si kwa kuwa wamekuwa tigolized.
Unajua kutokana na asilimia kubwa ya huo mchezo umeshamiri ndo maana manesi wakasema hivyo. Mm siamini kama mkeo ana tabia hiyo. Ingekuwa ana hiyo tabia basi ucngemkuta bikra.

Anyway,hebu jaribu kuichomekea kat maongezi kama vile unashangazwa na hiyo kitu kwa sababu imeenea sana kwa watu wenye mahusiano uone reaction yake usoni. Kama ataonyesha hofu ujue kuwa amehisi umemshtukia. Kama atakuwa normal ujue hana huo mchezo.

Usimuhukumu wala kumbadilikia jaribu kudodosa indirectly ili upate ukweli.

Pole sana bujibuji.
 
Hivi kwa nini hamtaki kukubali kuwa manesi wengi ni vihiyo?
 
hivi kwa nini hamtaki kukubali kuwa manesi wengi ni vihiyo?

ni kweli kabisa. Sijui ni kwanini watu waliofanya vibaya ndo wanaruhusiwa kufanya kazi nyeti kama hii. Kuna wengine wana failure kabisa kwenye results slip zao lakini ndo hao wanaohusika na kunusuru maisha yetu. Jamani serikali ibadili huu mfumo.
 
Jamani wamama semeni ukweli,kazi ya kusukuma mtoto ni ngumu sana. Na wao huwa wanasema "sukuma kama vile unataka kunya" sasa kama ulikuwa umeshiba au kinyesi kipo karibu kitaacha kutoka? Mimi kwa kweli nlishindwa kabisa kusukuma ikabidi wanikamue tumboni. Hebu tujaribu kuwa wakweli zaidi hapa.
 
eti Luv Bujibuji si anatuchakachua na hii story mbona kama ya kutunga vile?
na wewe umeshtukia eeeee, but kanasisimua sana, ni kama vile ndio yamekutokea sasa unatakiwa ufanye maamuzi yaliyo sahihi, very challenge kwa maisha ya sasa.... ila kweli yanatokea haya jamani
 
Bujibuji huo ni uzembe mkubwa, haiwezekani ukashindwa kujua mkeo kama alikuwa anagawa tigo yake nje!ukiwa unasex na mkeo kama huwa analiwa tigo nje utajua tu, there are some signs..........we vipi bana bujibuji acha uzembe!

what are the signs?
 
Bujibuji usisumbke ingekuwa na wewe tigo ni chakula chako ingekuwa haina noma. Lakini kwakuwa hulagi na kuliwa tigo ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuacha basi huyo mkeoataendelea kuliwa daima dumu. Sasa atakuwa analiwa na nani? FANYA MAAMUZI.
 
BORA UMEJUA ALIKUA ANACHAKACHULIWA UWANI,JE UNGESHUHUDIA ANACHAKACHULIWA CHUMBANI UPUMZIKAPO WEWE UNGEJISIKIAJE YAANI UWANJA WA NYUMBANI UNAPODAI SIKU YA UFUNGUZI ULIKUWA MGENI RASMI:doh:
 
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.

ungewakomalia...hao manesi waache ujinga,
kama ni kinyesi kutoa wakati wa kujifungua ni jambo la kawaida,
ile myth kuwa ukifanya hivyo,basi ushatigoliwa ni ujinga,
kama umepiga lishe kabla ya kujifungua...ile force ya kupush mtoto lazima kinyesi kikutoke...

unless hii stori ni ya uongo,mie siamini mtu anaweza kukukomalia kisa umemtigo mkeo,
hii si kuact professionally,
yes tigo ni moja ya starehe and i believe up to 20% of us tunapractise hii kitu :behindsofa:
:behindsofa:
:smile-big::smile-big:

Roselyne, wenzio hawataki, .......ati mbona siri ya ndani waitoa nje..........:smile:
 
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?
Ndg kumbuka manesi wengi ni wa kuchakachuliwa na kwa sababu hako kamchezo ka tigo kameeneo mdomoni kwa sana kama mafisadi wa tanzania kutoka sisiem kwa hiyo jaribu kumwona Daktari wa akina mama atakusaidia kuchunguza isije kuwa ni ugonjwa au alikuwa katoa tu ya kawaida maana huwa inatokea kwa akina mama wengi wapojifungua.Kwa hiyo kwa sababu ya hao manesi feki walipoona kinyesi basi wakakimbilia tigoliced,usichukue maamuzi ya haraka kabisa
 
Bujibuji
pole sana ndugu yangu, ndoa ina mambo mengi sana, yakufurahisha na kushangaza na kutia machungu
wanachokuambia manesi kuna mambo mengi ya kutafakari kama baba mwenye busara na hekima
1) inawezekana mama ana matatizo ya kimaumbile (
2) inawezekana manesi wameingiliwa na pepo la kuvuruga ndoa yako, hata kam hawakujui, shetani anaijua ndoa yenu
3) inawezekana pia kuwa mkeo ana tabia isiyorodhisha
sasa fanya yafuatayo
1) mchukue mkeo na mwanao kipenzi mliozawadiwa na Mungu kwa ajili ya kumlea
2) mama usimmulize chochote kwani utakavyo mchanganya inaathari sana kwa mtoto kipindi hiki cha mwanzo -pia kama ni kweli utamdhuru mama na mtoto, na kama si kweli utamdhuru pia
3) chukua hatua kwa busara na utulivu wa hali ya juu kulipa muda suala hili ukitafuta ukweli...... kwani ukweli haufichwi...hata uikifichwa utatatafuta njia wenyewe kujitokeza. be bold at this time huko ndiko kukomaa kam baba....tafadhali usikurupuke wala kupanick, give it time

you know what might happen.. when you loose a family it is almost imposible to recover it. ....tafakari chukua hatua.

pole sana kwa hiki mzee!! ndo unakomaa kwenye matatizo they ar there to harden us!!
3)
 
Back
Top Bottom