Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza hapa maadili ya kazi hayakuzingatiwa
hata kama ana tatizo na ana fanya vitendo hivyo kweli, ni suala baina ya mgonjwa na daktari/mhudumu wake, sio kwenda kumwambia mume.
itifaki ya tiba haikuzingatiwa.
Acha ujinga wewe hiyo ni soln gan unamsaidia jamaa,kuhusu tatizo lako mkuu huenda ni kweli mkeo alikuwa anafanya hivyo kipindi ni msichana ili kulinda bikra yake km atakuwa anokea maeneo ya znz au pwani mabinti wengi hufanya hivyo. Kaa naye mhoji km ni zamani bac muache as long as mtoto ni wako.Nna uhakakika mkeo ni cdm tena mpiganaji! maana kamanda wa wapiganaji ni ex-pdr,can.Phd.s&love.a.a
Nikijua itanisaidia nini?
Huu ushauri siuafiki, kwani hakuna tiba kabisa ya hilo tatizo??Pole sana! Kama bado unampenda itabidi umuombe akufundishe hako kamchezo ili uwe unamfanyia mwenyewe, vinginevyo vijana wataendelea kumfanyia tu, maana hako kamchezo hawaachagi kutokana fangasi wanaoambukizwa kwa ndani hivyo mfanyiwa hutaka kukunwa mara kwa mara. Na kwa kuwa huko mkono ni vigumu kufika, solution inakua ni jogoo tu.
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?
mimi nimeyasoma maelezo karibu ya Watu wote lakini maelezo yako yameniingia akilini ikiwezekana bujibuji ambane mke wake ili amueleze ni nani aliyekuwa anafanya nae huo mchezo halafu, ikiwezekana amsamehe ila kwa sharti moja kwanza aendeAisee hilo ni tatizo, kama ni kweli ulimkuta na bikra halafu leo hii kafanya hivyo jua wazi huyo si muaminifu katika ndoa yenu. Nakushauri kwanza uhakikishe kama mtooto ni wako, pia mbane akueleze wazi alikuwa anafanya na nani mchezo huo, vinginevyo muache kama akimlinda fisadi huyo.
ha ha ha ha ha,Umepita Mulemule,yaani utamwona anazidi kukatika na mikao yake Mingi inaifanya tigo iwe exposed zaidi!! Sometimes unaweza ukam-test kabisa ukijifanya unaitaka halafu angalia reaction yake then Hukumu!! Mwanamke ambaye hajawahi kuliwa utaiona reaction kabisa seriously,mwingine anaweza akawa anaigiza yupo serious lakini Utashi utakuongoza kuona kama ana-fake!! Sio kazi Ngumu kujua kama mwanamke analiwa jicho,its very easy!!tatizo sijui watu huwa wanasex na wapenzi wao huku wamefumba macho?????unatakiwa uwe makini na kila tendo mnalolifanya ndani ya tendo!kama ni mzoefu wa kuliwa tigo, ukiwa unapiga nje ndani lile tundu la tigo huwa lina respond kwa kufumba na kufumbua!na hata kama ukitaka kupitisha hata kidole unakuta mwanamke wala hashtuki na zaidi atajikausha kimtindo!ukifanya doogy style utagundua vizuri!
...mbinue umcheki marinda kama yapo au la,kama hamna ujue mke wako aliliwa zamani na yawezekana anaendelea japo wewe huusiki!alianzia huko kijijini,yawezekana alitunza bikira ya mbele lakini nyuma alikuwa anaachia!tabia hiyo ipo sana pia visiwani na mombasa,pole!!
..Wala usimuulize akitoka hospitali baada ya ku-recover vizuri na wewe omba mjadala utaanzia hapo...!!!MSAMEHE
mwulize alikuwa anafanya nanan mchezo huu
tangu lin na kwanini?
Kukuongezea ni kwamba si rahisi kumtambua mtu aliyefanyiwa liwati kwa kumtazama huko chini, unless awe amefanya tendo hilo siku hiyohiyo. Nilisoma na jamaa mmoja wa Egypt alikuwa anaandika thesis yake kuhusu mambo ya criminalization of sex huko kwao. Kule Egypt liwati ni kosa linaloadhibiwa kisheria kwa wote aliyefanya na aliyefanyiwa. Alifanya utafiti wake kuhusu validity na reliability ya test zilizowekwa kisheria kwa ajili ya kuthibitisha ushahidi kuwa mtu ni shoga, na hizo huwa ni madaktari wanamtazama mtuhumiwa kwenye anus akiwa ameinama halafu wanamwambia asukume kama anataka kuny*. Alileta wanaume ambao wamekiri kuwa huwa wanaingiliwa, akasafiri nao kutoka UK hadi Egypt akaita majopo matatu tofauti ya madaktari wa Egypt wawapime. Matokeo yalishangaza. Kuna ambao walipasi kwa majopo yote matatu kuwa hawajawahi kufanyiwa hivyo! Wapo ambao jopo moja lilisema ni was*ng*, lingine likasema siyo. Na siku moja tukiwa tunajadili naye pale Ty Beck house tulipokuwa tunaishi wote, aliniambia hata watu wenye ugonjwa wa unaoitwa piles wanaweza kudhaniwa ni waseng* kwa kipimo hicho. Kwa kifupi conclusion yake ilikuwa kwamba hicho kipimo siyo valid wala reliable. Nimejaribu ku-search kama ali-publish ile thesis lakini sijaiona publication, nimemwandikia email akinitumia e-copy nitawawekea na nyie muione.
Huo uvumi umeenea sana hadi kinamama wanaenda labor wakiwa na hofu tayari, maana nina uhakika kuna wanaosemwa kwa abnormality zao ambazo hazijatokana na tendo hilo wanalotuhumiwa.