Nimezongwa na kushikwa, shikwa pale The Great park! Nitafungua mashtaka kudai bilioni moja!

Nimezongwa na kushikwa, shikwa pale The Great park! Nitafungua mashtaka kudai bilioni moja!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuuu umetsha
 
Hahahahaha ucjal kafungue kesi then tawi la Chadema TLS chini ya Lissu watakupa mawakali 50 wakiongozwa na kibatala
 
Na kama tu kidole tu mlevi mmoja kimeingia mahala kule kwenye joto na unyevu nyevu dai bilioni kumi vepe iyo ilitokea??
 
Waswahili wenzangu tunapaita pale ze griti, haha siku nyingine utucheki wazawa ili usipate shida hiyoo..
 
Ha haaa! This idea came Yesterday in the middle of the party. The place was full of people kiasi kwamba ilikuwa ni ngumu kusogeza mguu bila ya kumkanyaga mwenzio.

Basi wakati wahudumu au wadada wanapita kwenda toilet, kwa kuwa nilikuwa nimekaa karibu na kinjia, niliambulia kadhia ya kushikwa shikwa bega au mapaja na walevi ambao walihitaji support ya kujiwezesha kutembea wima.

Kiukweli wazo likanijia kuwa hii ndio nafasi ya kutengeneza pesa kama mwanasheria Fatma Karume.

Yule mwanadada kanifundisha kuwa kumbe ukishikwa shikwa na kuzongwa zongwa na kundi kubwa la watu hiyo inakuwa ni nafasi nzuri ya kutengeneza pesa?

Sasa kesho juma tatu na mimi naamkia mahakamani kudai haki yangu.

Kwa nini watu wanizonge zonge na kunishika shika bila ridhaa yangu eti tu kwa kisingizio kuwa tuko overcrowded?

Kesho wahandisi wa habari tukutane Kisutu. Baada ya kufungua mashitaka nitaitisha press conference...
Hapo wewe umevolunt non fit injuria... Usipoelewa uje tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom