lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa dar wananchi wanakula raha sio mchezo. Nimeanzia maeneo ya banana Ukonga
Tabata mbezi bichi mikocheni na kinondoni kwa kweli wananchi wanafuraiya maisha.
Huu mwaka wananchi wanafurahiya kufunga kwao mwaka kwa amani sana.
Wanashangilia uhuru wa taifa lao.
Wananchi wanafunga mwaka kwa shangwe la nguvu sio kawaida.
Arusha moshi na mwanza huko kwenu vipi?
Ukisikia kufunguka kwa uchumi kwa sekta binafsi ndio huku sasa