Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

Huu usajili wa Chongolo na Shaka mitandaoni ni shida tupu! "Mbezi bichi" ulienda bar ipi?
 
Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa dar wananchi wanakula raha sio mchezo
Nimeanzia maeneo ya banana ukonga
Tabata mbezi bichi mikocheni na kinondoni kwa kweli wananchi wanafuraiya maisha
Huu mwaka wananchi wanafurahiya kufunga kwao mwaka kwa amani sana
Wanashangilia uhuru wa taifa lao
Wananchi wanafunga mwaka kwa shangwe la nguvu sio kawaida
Arusha moshi na mwanza huko kwenu vipi?
Ukisikia kufunguka kwa uchumi kwa sekta binafsi ndio huku sasa
Acha uongo. Mama anatukanwa matusi kibao tena wananchi wanamchukia sana kwa sababu ya umeme na maji, yaani kwa ufupi serikali iliyopo inachukiwa kinoma kama enzi za JK
 
Mtu anapoamua kwend bar awez kuw hapo na huzuni anakuja ku refresh


Unalosema kama vle unatak mkute mfiwa anachek na useme kweli amefurah kifo cha mtu wake wa karbu, Bar sio sehemu ya kwend kuhuzunka au kuonyesh huzun

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom