Unatumia kipimogani kujua mtu kachoka?Leo umechoka, kapumzike kwa siku ya leo.
Mkuu mwaka jana sitatembelea hivi viwanja ni mwaka huu tuMkuu rudi shule ujifunze kuandika vizuri kwanza.
Je mwaka jana ulitembelea hizo bar ukakuta zimefungwa ama watu waliopo wanakunywa huku wanalia kwa kukosa furaha?
Hii nchi imejaa mandezi kama hawa ndio maana hatuendelei.
Kipindi Cha jpm tulikuwa tunakunywa huku hatuna furaha kwa sababu hela zilikuwa hazipo, watu wasiojulikana na viongozi wa hovyo Kama akina makonda na sabaya wanawatishia watu kuwafilisiMkuu rudi shule ujifunze kuandika vizuri kwanza.
Je mwaka jana ulitembelea hizo bar ukakuta zimefungwa ama watu waliopo wanakunywa huku wanalia kwa kukosa furaha?
Hii nchi imejaa mandezi kama hawa ndio maana hatuendelei.
Tukubali tukatae kipindi hiki uchumi umeanza kufungukaKipindi Cha jpm tulikuwa tunakunywa huku hatuna furaha kwa sababu hela zilikuwa hazipo, watu wasiojulikana na viongozi wa hovyo Kama akina makonda na sabaya wanawatishia watu kuwafilisi
Tukubali tukatae kipindi hiki uchumi umeanza kufunguka
Mwambie mama anaenda vyema ila aache kutumia ikulu kufanyia vikao vya ccm yeye ni rais ww hata watu wa cufPia matumaini yamefufuka ingawa sio kwa kiwango cha kuridhisha
jf haijawahi kuwa na member munywa ulanziMimi nipo hapa Iringa nashindia ulanzi halafu wewe unasema maisha mazuri?
Wewe kama siyo kichaa basi umerogwaNimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa dar wananchi wanakula raha sio mchezo
Nimeanzia maeneo ya banana ukonga
Tabata mbezi bichi mikocheni na kinondoni kwa kweli wananchi wanafuraiya maisha
Huu mwaka wananchi wanafurahiya kufunga kwao mwaka kwa amani sana
Wanashangilia uhuru wa taifa lao
Wananchi wanafunga mwaka kwa shangwe la nguvu sio kawaida
Arusha moshi na mwanza huko kwenu vipi?
Ukisikia kufunguka kwa uchumi kwa sekta binafsi ndio huku sasa
Yeye kashiba maana kazi yake ndiyo hiyo ya kumsifia anaye muwezesha kupata mkate wake wa kila siku.Mkuu rudi shule ujifunze kuandika vizuri kwanza.
Je mwaka jana ulitembelea hizo bar ukakuta zimefungwa ama watu waliopo wanakunywa huku wanalia kwa kukosa furaha?
Hii nchi imejaa mandezi kama hawa ndio maana hatuendelei.