Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

Huu usajili wa Chongolo na Shaka mitandaoni ni shida tupu! "Mbezi bichi" ulienda bar ipi?
 
Acha uongo. Mama anatukanwa matusi kibao tena wananchi wanamchukia sana kwa sababu ya umeme na maji, yaani kwa ufupi serikali iliyopo inachukiwa kinoma kama enzi za JK
 
Mtu anapoamua kwend bar awez kuw hapo na huzuni anakuja ku refresh


Unalosema kama vle unatak mkute mfiwa anachek na useme kweli amefurah kifo cha mtu wake wa karbu, Bar sio sehemu ya kwend kuhuzunka au kuonyesh huzun

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…