Nimfanyaje huyu binti?

Ana akili yake huyo usimchukulie Poa !

Kuna jamaa ilianzaga kama hivyo akasema anamsaidia kisha akajikuta anamsaidia hadi kumsugua kwa miaka mingi kila akitaka kumuacha anashindwa ,

Jamaa akaoa mwanamke mwingine, lakini haikusaidia akawa anazani anamsaidia kumbe mwanamke ana jambo lake kichwani, akamroga mpaka jamaa akienda kwa mkewe haisimami.

kukata hiyo Habari ndoa ya jamaa ilishavunjika na kubaki historia sababu ilianza kama hiyo unayoleta wewe.

Buyer beware!

Labda kama hujaoa na uwe umempenda lakini kama unazani si wa hadhi yako kuwa makini yaweza kukugarimu mno kwenye maisha yako!
 
Ndugu zako wote umekamilisha kuwasaidia kupata kazi wote kiasi cha kutaka kumsaidia mtu baki tena wa jinsia nyingine?

Kuna watu mna mambo nyie?!

Hivi dhamiri yako inakushuhudia nini ndani yako?!
 
Duh, hii si ya kuwaza hata ikukute maana wengine tusharukaruka sana lolote lingeweza kutucost
 
Ndugu zenu wakiomba muwasaidie kupata kazi mnawakatisha tama kwa kuwaambia haiwezekani labda wafuatilie matangazo ya kazi wao wenyewe na kuomba.

Ndugu zetu wakipiga
Simu hampokei wala kuwa call back mkijua ni simu za shida ya hela.

Lakini kwa watu baki mnajifanya kuwa na huruma tena wa jinsia nyingine [emoji3][emoji3]

Mmnh!

Nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…