Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 209
- 137
Tulifahamiana kimasihala tu kwa lengo la kumsaidia kupata kazi sasa sijakamilisha mchakato wa kazi ila anajiletaa, Nikila mzigo na kazi asipate silawama hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafune tu maana Shetani na yeye ana nguvu.Tulifahamiana kimasihala tu kwa lengo la kumsaidia kupata kazi sasa sijakamilisha mchakato wa kazi ila anajiletaa, Nikila mzigo na kazi asipate silawama hizi??
Tulifahamiana kimasihala tu kwa lengo la kumsaidia kupata kazi sasa sijakamilisha mchakato wa kazi ila anajiletaa, Nikila mzigo na kazi asipate silawama hizi??
Ona sasa dah! [emoji16][emoji16][emoji16]Ushasema anajileta
Maliza kazi mzee,lawama zipo tu hizo hata usipomla atakulaumu
Hahahahah sijui nimecheka nini hapaOna sasa dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
Wa kumtafuna??🤣Uzi ufungwe kaishapokea ushauri sahihi. Member twendeni nyuzi zingine
Duh, hii si ya kuwaza hata ikukute maana wengine tusharukaruka sana lolote lingeweza kutucostAna akili yake huyo usimchukulie Poa !
Kuna jamaa ilianzaga kama hivyo akasema anamsaidia kisha akajikuta anamsaidia hadi kumsugua kwa miaka mingi kila akitaka kumuacha anashindwa ,
Jamaa akaoa mwanamke mwingine, lakini haikusaidia akawa anazani anamsaidia kumbe mwanamke ana jambo lake kichwani, akamroga mpaka jamaa akienda kwa mkewe haisimami.
kukata hiyo Habari ndoa ya jamaa ilishavunjika na kubaki historia sababu ilianza kama hiyo unayoleta wewe.
Buyer beware!
Labda kama hujaoa na uwe umempenda lakini kama unazani si wa hadhi yako kuwa makini yaweza kukugarimu mno kwenye maisha yako!