Nimfanyaje huyu binti..

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
......................................................................................
 
Pepo la uzinzi lisikutawale mkuu
Sio kila mdada akikuzoea anataka umtongoze
Na wao wana haki ya kuwa na marafiki.
OTIS
 
ofcoz yuko interested na ww, so u take yo chances before hajalose hyo interest maana akiona huna mpango nae na yy atakuwa hana mpango na ww
 
....................................................
 

Kwa kuwa hapo kwenye bold umesema kuwa anapenda kushare na wewe vitabu vya nyimbo na neno, nafikiri si jambo baya mkaendelea kumtukuza Mungu kwa nyimbo na neno bila kumpa ibilisi nafasi ya kuwapa mawazo ya ngono. :glasses-nerdy:
 
kama ni kuku kishingo yani mtu kukushirikisha kusoma kitabu ushahisi anakutega wewe unaenda kanisani kusoma au nishasahau unaendaga kusali au kufollow nan anakaa na wewe kama vip kakae mazabahuni ili ukae peke yako nyie ndo wale wale kwenye hiece umesimama ukiguswa unahisi unaibiwa???????????///
 
Mimi ninavyofahamu mara nyingi wanawake na wanaume wanatengannishwa katika viti kanisani. sasa wewe huwa unakaa upande wa wanawake kila misa?
 
watu bwana mpo kanisani lakini vichwani ngono zimetawala, we hujafikiria upande wa pili labda nataka akushirikishe vitabu vya mungu ili uzidi kuamini, we umewaza ngono tu...
 
Mimi ninavyofahamu mara nyingi wanawake na wanaume wanatengannishwa katika viti kanisani. sasa wewe huwa unakaa upande wa wanawake kila misa?
wa mjini wanajichanganya tu! upande wa kiume utakuta kuna wanawake wache, hii inatokana na wingi wa KE kupenda kufanya ibada
 
Wewe huyo ibilisi wa ngono anakufuata hadi kanisani! Endelea kusali, achana na fikra za ngono kanisani
 
sizani kama unafuata mafundisho humo
kanisani.it inaonekana huwa unamuwaza tu huyo binti.nachelea kusema wale wenzetu walio tenganisha
jinsia kwenye nyumba zao za ibada waliona mbali sana.
 
Mkuu unauliza nini kama hataki dudu siangekaa na wakike mwenzake.Wacha kupoteza muda mangi tupia mambo bana
 
usije ukatongoza watoto wa under 18,shauri yako.mwache binti wa watu kama alivyo.wewe si unaenda kanisani kusali?fata kilichokuleta kanisani.kama unae mpenzi huyo uliekuwa nae anakutosha.

actually hawa ndo akina "kanumba" wameingia makanisani sasa. eti anasema binti anapenda tuchangie vitabu vyake, me nidhani kama yeye ni makini anatakiwa abebe vitabu vyake. aidha huyu binti inaonekana anamfuata jamaa kwakuwa jamaa anakuja kanisani bila vitabu, binti ni mwema anamhurumia jamaa, anamsogelea ili amsaidie vitabu wakati wa ibada, lakini jamaa anatazama kwa macho zaidi ya mawili- kaaazi kweli kweli
 
Wewe huwa unaenda kanisani bila vitabu, na inaonekana una tabia ya kuzungusha zungusha shingo tu na kutoa macho kukagua mabinti. Haka kabinti hukuonea huruma na kusogezea huduma ya vitabu. Ubaya uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…