Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
mazee, mnanihukumu sana..lakini hamna tabu..nachuja vinavyonifaa na kuvifanyia kazi..umri wangu ni 29..so i am matured eneough..huwaga nakwenda kusali na si vingine.. ila huyu dogo , amefanya ni utaratibu wake kuja kukaa na mimi, mpaka umenishangaza sana..ikabidi niufikishe kwa critical thinkers kwa ushauri na si hukumu..wakati mwingine nakuwa na vyangu lakini kwanini hakai mahali pengine popote isipokuwa ninapokaa mimi tu?? hilo ndo swali..the first time we seated together ilikua ubatizo wa mtoto wa kaka yake from what i saw..then nkajua imeishia hapo..the next sunday.. i saw her , she came straight to my seat..nkajua kawaida..then the next sunday and another and another..nkaona alaa kumbe huu ushakua utamaduni? na mara nyingi hapa church kwetu wanaokaa pamoja ni wenye ndoa tuu..sasa hii itaanza kuleta picha gani..kuwa she is my wife???
Kama huna mpango nae, si ubadili tu ratiba ya kwenda chachi na seat ya kukaa??