Kama unaye mke please mpotezee huyo. Ukijifanya KIBOLO DINDA utaona kila siku wapo wanawake wengi sana wa aina hiyo.
Noted. Hii nimeipenda. asante.Unajua imeniwia ngumu kukupa ushauri sahihi kwa sababu hujaweka wazi kama una mchumba au mke. Lakini pamoja na hayo usiwe na haraka na huyo mwanadada, wewe jenga mahusiano ya kawaida yasiyo ya kimapenzi nakuhakikishia utagungua vitu vingi ambavyo vitakupa fursa ya kuamua kama huyo dada ni saizi yako au ndiyo magumashi!!!!! Pia kama umeoa nakushauri achana na huyo demu inawezekana akawa kesha kupigia hesabu tayari kuwa utamtoa mpaka level fulani sasa ukichanganya na majukumu ya kifamilia utalost ndugu yangu.
Noted. Hii nimeipenda. asante.
Umeoa ? una mchumba ? ama uko single looking?????????????
Omba mchezo tafuna halafu pima uelekeo,amua
na huyo mdada pia anafikiri wewe unammind kwa kujipeleka peleka hapo kwenye ka ofisi kila mara bila shuhuli ya msingi . Kwa ufupi wazembe wawili mmekutana. Tabu tupu
hapana klorokwin ,usipitwe na wakati ,yeye hajasema anaenda pale akiwa hana la kufanya ,kumbuka amesema kuna service pale....au unajuaje hyu kaka labda ni mweupe kama nadharia zako zilivyo! Be positive au kwa sababu hutibu malaria!
anakupenda kusema ndiyo hawezi si wanaume wote utakaemwambia live kuwa unampenda akakuelewa so kuwa nae karib km kweli unampenda mpe nafasi utamuelewa zaidi nia yake. ila pia kua nae makini.
.Kijana Siyo ajabu yuko kazini anaattract customers sasa akikununia utasemaje? Kama hujaoa na hajaolewa make your case known to her.