Sikubaliani na AINE: Hasa sehemu hii ya kutaka kujua "Anakaa wapi, ndugu zake nani, marafiki zake nani.." Naona havihusu chochote. Kama unataka kumfahamu huyu dada spend nae muda utamfahamu tu bila kumhukumu kwa sababu ya ndugu zake, marafiki zake, anakoishi nk. Hayo ni mambo ya kizamani AINE. Samahani kama nimekukwaza, Ni mawazo tu