Nimfanye nini huyu EX wangu?

Nimfanye nini huyu EX wangu?

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2020
Posts
237
Reaction score
325
Wakuu kuna mwanamke nimeachana naye tuna mwezi sasa na tuliachana kwa kukata mawasiliano tu kutokana na tabia yake aliyokuwa ananifanyia, sasa jana kanitumia sms kuwa amenimiss sana.

Naombeni ushauri nifanyaje?
 
Kama bado unampenda Kapashe kiporo mkuu, usisahau kutumia kinga(kondom na barakoa)

Kama umpendi na humuitaji tena mpuuzie na uendelee na maisha yako.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom