Nimfanye nn jirani yangu huyu?

Exactly,nimekugongea thanks hii ingekuwa kule jokes ni part 2 ya ile joke 'kwanini unawasha sigara dukani kwangu', 'ni kwasababu nimenunua hapa', 'kuna watu wananunua condom lakini huwaoni wakidin**na hapa'
 
Exactly,nimekugongea thanks hii ingekuwa kule jokes ni part 2 ya ile joke 'kwanini unawasha sigara dukani kwangu', 'ni kwasababu nimenunua hapa', 'kuna watu wananunua condom lakini huwaoni wakidin**na hapa'
Sijakuelewa!
 
Kwa kweli swali lako halikukaa vizuri. Maana wewe ulikuwa judgemental. Kama alivyosema Mammamia, kuna sababu nyingi za kwenda hospitali. Anaweza kuwa ni mfanyakazi wa huko, anweza alienda kumtembela rafiki yake anayefanya kazi hospitalini, anaweza kuwa alienda kumwona mgonjwa nk. Nadhani wewe ulipomsalimia na kukwambia hajambo ilitosha. Yanini kuchokonoa chokonoa, labda kama angekuwa ndugu yako wa karibu.
 
Kama ni joke bac huyu jirani inawezekana anaijua ndio maana akanijibu ku*ya kwasababu huko makaburini anakosema kaniona binafsi sijawahi kwenda,lakini binafsi nilimuuliza hili swali kwa nia njema na hilo ndilo jbu alonipa.nitaitembelea hii site maana kwenye hii cell yangu inakataa,kama itakuwepo huko bac atakuwa kanijibu kijoke na mie cntomkasirikia nitajua anatania.
 

pole sana huo ndo ubepari, ubinafsi mbele hakuna kujuana
 

uache uswahili na wewe, mie nina mwaka hapa nilipohamia sijawahi hata kumuona jamaa anayeishi kwenye nyumba ya pili achilia mbali kusalimiana, hawa ngozi nyeupe ndivyo walivyo si kwa blacks hata wenyewe kwa wenyewe huwa hawana mazoea ya ajabu ajabu kisa ujirani!
 
Hamna shaka nitakuwa naishi nao kimya kimya
 
maybe ndio ujifunze,baadhi ya wazungu,leo anacheka na wewe vizuri,kesho anakuona huna maana tena kwake.siku nyengine usimzoee sana
 
maybe ndio ujifunze,baadhi ya wazungu,leo anacheka na wewe vizuri,kesho anakuona huna maana tena kwake.siku nyengine usimzoee sana
Nashukuru kwa kunialert nitamuogopa kama ukoma
 
 
 
Hamna shaka nitakuwa nawasalimia tu na kuachana nao
 
Ndio wale wanao uliza mademu wa kizungu umri wao . Huu ni umbeya , unamtakia nini jirani yako kujua mambo yake ? wewe kama umemuona anatoka hospitali hukupaswa kumuulzia ungemsalimia tuu, kwa kumjulia hali, halafu yeye ndioa afunguke kukuambia hali yake, sio kuanza kuuliza ooh umelalaje? umeamkaje, nyumbani hawajambo bla bla bla lol
 
huko ulikohamia ni kila mtu na hamsini zake ndugu yangu Kama unashida ya salam ni Hello/hi, kwa ufupi hataki perepere nyingi tofauti na kule ulikotokea

Live kabisa hii. Hakuna perepeche, some time kwa sababu ndo tabia yao, kamata zako hamsini. Unasalimia nini!
 
Sio kila swali unaweza kumuuliza kila mtu na akakuelewa nia yako. Nadhani alihisi unamsanifu na kufurahia matatizo yake. Hata hivyo kumbuka sio kila anayetoka hospital anaumwa yeye inaweza kuwa alienda kusalimia ndugu yake anayefanya kazi hospitalini au alienda kumwona mgonjwa. Acha maswali yasio na msingi
 
labda alipima akakutwa nao mdudu,mwambie aje kwa babu Loliondo huku tz ataanza kukujibu vzur..............pole lkn ww na umbea wako
 
Sasa kwa nini unataka umkaukie? endeleeni kupeana hi! na sio zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…