kingazi
Member
- Jul 4, 2011
- 35
- 7
mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?