Nimfanyeje huyu mke?

Nimfanyeje huyu mke?

kingazi

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
35
Reaction score
7
mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?

inawezekana ndo tabia yako hadi mkeo hakuamini, sasa basi kama una ubavu
mwoteshe nyasi na yeye

Mpe kazi ya kukutafutia kibarua kipya...baada ya hapo atajifunza kumuuliza aliyepiga ni nani na anataka nini kabla ya kuporomosha matusi!!

mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?

kibarua kimeota nyasi, nawe mlishe nyasi ili mwende sawa.
Ukiona huwezi, nipe mimi

Mrudishe kwao akafunzwe, kitchen party wakati mwingine zinafunza wajameni, simu ya mumeo ya nini sasa, tafuta kazi tu huna la kufanya wewe kaka, na kwa kipindi hiki inabidi yeye ndio aprovide kila kitu

Usitafute kibarua kingine, kwa sasa mwambie muondoke mrudi kijijini akamate jembe kwa mwaka mmoja ajifunze adabu, baadaye ndiyo mrudi mjini utafute kibarua. Nina uhakika atakuwa na nidhamu na ataheshimu sana kibarua chako.

Hapo inabidi kujipanga upya watu hawjakushauri vizuri mpaka inafikia hatua hiyi ina maana ww nawe una katabia si mwaminifu jenga uaminifu kwa mkeo kwa hivi sasa msamehe mkeo na mwambie asirudie tena na asiwe na tabia ya kupokea simu zako kama wewe hauko mbali tafuta kazi nyingine maisha yasonge mbele! achana na wanafiki wengine wasiojua utamu wa mke!

Mrudishe kwao akafunzwe, kitchen party wakati mwingine zinafunza wajameni, simu ya mumeo ya nini sasa, tafuta kazi tu huna la kufanya wewe kaka, na kwa kipindi hiki inabidi yeye ndio aprovide kila kitu
nowdays ishapoteza ile maana halisi, ngono na kuhamasisha tabia mbaya tu.

mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?

vp yeye,anajipongeza au anajutia pumba zake,ndo tatzo la kuoa wanawake wa drs la 7 ktk ulimwengu wa sasa

Bosi gani anafukuza mtu kwa kutukanwa na mkewe. Kwa kifungu gani cha sheria ya kazi ya URT??????? Au kilikuwa ni kibarua huna contract??? Wewe unataka kutisha watu wasipokee simu za wenza wao tu hakuna kitu kama hicho cha mtu kufutwa kazi bila evidence. Arirecord hiyo conversation??? Na kama alirecord amemwajiri mkeo au wewe?? Why should you pay for your wife's behavior???

mwambie mkeo kama kweli ana akili timamu akakuombee msamaha kwa bosi wako kwa upuuz alioufanya ,maana inaonekana mkeo anafikiria kwa ... haiwezekan kila mwanamke anaekupigia simu awe kimada wako otherwise we mwenyewe ndo malaya na hapo utakuwa umejifunza kwa hilo.

bosi nae uskute alikua anakumind so imemuuma coz hawez kukufukuza kazi kirahisi rahisi tu

vp yeye,anajipongeza au anajutia pumba zake,ndo tatzo la kuoa wanawake wa drs la 7 ktk ulimwengu wa sasa

Ange2pa elimu aliyenayo mkewe ingekuwa vema katika majibu ye2.

Pole mkuu, Nadhani mke ana hitaji sherehe ya jikoni, labda atajifunza

mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?

Kama kibarua kimeota nyasi basi huyo Boss wako ni kweli ana feelings kwako.... For ninavoelewa such cases zimekuta ma boss wengi wawe wa kike au wa kiume... na hua wanaelewa matatizo ama kukurupuka kwa Wapenzi/wake/waume wa wafanya kazi wao.... Maana mtu mpaka ukawa Boss ina maana you are fit for the position na mara nyingi busara lazima iwepo, ili akikutana na mambo kama hayo anakua anajua jinsi ya ku handle...

kweli kabisa bosi mwenye akili ange take simple tu mbna mambo madogo tu hayo ni kiasi cha kuelezwa tu kwamba mke sio muelewa so boss ange take kawaida tu.

mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?
Basi huyo ni mwizi wa penzi lenu....! Jaribu kufuatilia nyayo zake uone....!

Ila kama hii stori ni ya kweli, huyo boss hajiamini na wala hajui nafasi yake! Pole.
Kuhusu mke wako, nafikiri atajifunza kwa hilo lililotokea.

Back
Top Bottom