mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?

nowdays ishapoteza ile maana halisi, ngono na kuhamasisha tabia mbaya tu.Mrudishe kwao akafunzwe, kitchen party wakati mwingine zinafunza wajameni, simu ya mumeo ya nini sasa, tafuta kazi tu huna la kufanya wewe kaka, na kwa kipindi hiki inabidi yeye ndio aprovide kila kitu

mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?

vp yeye,anajipongeza au anajutia pumba zake,ndo tatzo la kuoa wanawake wa drs la 7 ktk ulimwengu wa sasa
mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?
Kama kibarua kimeota nyasi basi huyo Boss wako ni kweli ana feelings kwako.... For ninavoelewa such cases zimekuta ma boss wengi wawe wa kike au wa kiume... na hua wanaelewa matatizo ama kukurupuka kwa Wapenzi/wake/waume wa wafanya kazi wao.... Maana mtu mpaka ukawa Boss ina maana you are fit for the position na mara nyingi busara lazima iwepo, ili akikutana na mambo kama hayo anakua anajua jinsi ya ku handle...
Basi huyo ni mwizi wa penzi lenu....! Jaribu kufuatilia nyayo zake uone....!mimi nina mke anawivu mno,siku moja asubuhi nimekwenda kuoga ili niende kazini bosi wangu ambaye ni mwanamke akapiga simu basi mke wangu akapokea simu alivyosikia sauti ya kike wacha amshushie matusi akidhani ni kimada wangu kufika kazini kibarua kimeota nyasi sasa nifanyeje?