Nimfanyeje huyu

Nimfanyeje huyu

Wababa

Senior Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
158
Reaction score
14
Nina mpenzi wangu ambaye kanizidi mwaka mmoja tuu, ila kila cku analia na umri wangu kuwa mimi ni mdogo kwake, embu niambie jamani nimfanyeje cause anataka kuniacha, mimi ni kijana wa miaka 27, yeye ana miaka 28, ni hayo tuu.

Mnatembea na miaka usoni?!

Kama ni kikwazo sana kwake itafika mahali itabidi muachane tu.Jitahidi kumuelimisha ni kwa kiasi gani haijalishi...wewe haikusumbui na kumkumbusha mapenzi yenu (kama yapo) yalivyo makubwa zaidi ya umri!!

Nina mpenzi wangu ambaye kanizidi mwaka mmoja tuu, ila kila cku analia na umri wangu kuwa mimi ni mdogo kwake, embu niambie jamani nimfanyeje cause anataka kuniacha, mimi ni kijana wa miaka 27, yeye ana miaka 28, ni hayo tuu.

tell her age is just a number!

mimi ni mbaba,....mwambie hiviiiiiiiiiiiii 'age an't nothing but a number'....akikommaaa we sepa bana

achana nae
halafu kachkue jimama la kuanzia 50 hivi
halafu uwe unatesa nalo live
wazi wazi hivi
ili akome kujishaua .....

jaribu kufuatilia ushauri uliopewa hapo juu na pia mweleze kuwa umri si kikwazo katika maisha ya sasa na mwambie abadilike
ukiona hakuelewi ujue huyo hajakupenda kwa dhati.

achana nae

halafu kachkue jimama la kuanzia 50 hivi

halafu uwe unatesa nalo live

wazi wazi hivi

ili akome kujishaua .....

kudos The Boss
na iwe fundisho kwa wengine dawa yao ndio hiyo..

May be jamaa ana mambo mengi ya kitoto so mwenzake anaona bora akatafute wa age yake au mdogo kwake ambaye wataendeleza hayo mambo ya utoto

jaribu kufuatilia ushauri uliopewa hapo juu na pia mweleze kuwa umri si kikwazo katika maisha ya sasa na mwambie abadilike

ukiona hakuelewi ujue huyo hajakupenda kwa dhati.

nimeamini sasa akufukuzae akuambii toka..
msaadie huyo ili ajitambue..

Kuna tatizo hapo mkuu.nyie salio lenu la mapenz lipo chini ya 30.u're days are numberd.mmwage kisilence kabla hajakumwaga ww.aende zake akatafute wazee wenzake hana mpnz ya kwel huyu.kimbizaaaa!

Huyo hajiamini!Anaishi kwa mazoea,hawezi kutoka nje ya box!Jaribu kumwelewesha asipokuelewa chapa lapa,mwanamke sio yeye tu!

Nina mpenzi wangu ambaye kanizidi mwaka mmoja tuu, ila kila cku analia na umri wangu kuwa mimi ni mdogo kwake, embu niambie jamani nimfanyeje cause anataka kuniacha, mimi ni kijana wa miaka 27, yeye ana miaka 28, ni hayo tuu.

Analake huyo! Jipange kimaisha dogo na wewe uje unyakue kidogodogo. Kwa mlipoanza hakujua kuwa wewe ni mdogo kwake?

Maana yake ni kuwa hajajua tu aanzie wapi kukwambia "baba nimekuchoka" Jihesabu UTAMBAE...kama huamini jifanye humsikii hivi...atatafuta zaidi ya hiyo, si ajabu akaja na ooh...unajua una.....ndogo. 🙂 ni hayo tu. I'M OUT

achana nae

halafu kachkue jimama la kuanzia 50 hivi

halafu uwe unatesa nalo live

wazi wazi hivi

ili akome kujishaua .....

Huu sio ushauri wakumpa mtu anayekujia na tatizo unakua mropokaji jama maka....

"Watakomazana"
kadri muda una zidi kwenda ndio wanavyozidi kuachana,....anyway akomae kiume na kama ni muoga asepe,...si unajua siku hizi kila ki2 kigeu geu

May be jamaa ana mambo mengi ya kitoto so mwenzake anaona bora akatafute wa age yake au mdogo kwake ambaye wataendeleza hayo mambo ya utoto

hapana c kweli brother, me nipo imara hakuna mambo ya kitoto hapa.

Back
Top Bottom