Nimfanyeje mpenzi wangu aache kutukana matusi tukiwa katikakati ya tendo?

🫑🫑🫑🫑
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dunia ina mengi
Anyway wengine hayo matusi ndo nguv ya kuupanda mlima vizuri
 
Mkuu ukitaka matusi yanoge,akianza kukuporomoshea matusi nawewe anza kumporomoshea pia,utakuja kunishukuru baadae[emoji23]
 
Bora huyo wa kwako. Nikuonie siri kuna wengine wana ng’ata na kuna wengine hukurarua na kucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bora lipo hapo? Bora usikie matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…