Nimfanyeje mpenzi wangu aache kutukana matusi tukiwa katikakati ya tendo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Boss huhitaji h/girl nyumbani kwako?? Nahitaji kazi
Majirani wasije kusema

"alimjaza h/girl wake mimba... alikuwa anajisevia kimyakimya mpishi na chakula chake 😌👍🏾"
 
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa.

Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko town ila katika kukaa naye nimegundua tabia moja inanikera mno yaani tukiwa tunafanya mapenzi akiwa ameshakolea na kukaribia kufika kileleni anatukana matusi mengi kweli na kunipiga makofi na vurugu zinakuwa nyingi sasa tukimaliza tendo akili yangu inakuwa inakumbuka yale matusi yake yananifanya nikose pozi la kumwambia ukweli kuwa sipendi hii tabia.

Kinachonifanya nisimwambie ukweli huyu binti ni mtu mwenye kariba ya kupaniki na kununa hasa ukimwambia kitu cha kweli kinachokukwaza.

Wakurungwa nimfanyeje huyu binti ana miaka 25 ni pisi kali kweli kweli ila nashindwa kumwelewa akiwa kawaida sijawahi kumsikia akitukana hata kama tunagombana ila likishafika suala la kufanya mapenzi utamu ukimkolea na kama anafika kileleni basi matusi yaanaanza kama mvua ya mawe mpaka afike ndio anakuwa sawa anaacha kutukana.

Je hili ni tatizo la kawaida au ni mapepo aliyonayo? nimfurushe
Sisi wengine tunatukanwa na kung'atwa kabisa akishakojoa anaomba msamaha
 
Mshukuru mungu umepata mwenye matusi mi mwenzio nipo spidi ya hatar nipo nahondomora nikaskia mtu sauti ya mahabaaaaa "bebe na jirani anataka" si ndio nikaanza kuangalia mlangoni nadirishani nikajua labda kuna mtu anatuchunguria nyeeeeeeee tembea uone wewe
Jirani yule ndugu mpalange sio?
Yule mtandao wa bei nafuu?
Ulifanyeje mndewa?
 
Mleta mada naomba uwe unarecod hyo sauti yake na matusi Kisha tuma huku
 
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa.

Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko town ila katika kukaa naye nimegundua tabia moja inanikera mno yaani tukiwa tunafanya mapenzi akiwa ameshakolea na kukaribia kufika kileleni anatukana matusi mengi kweli na kunipiga makofi na vurugu zinakuwa nyingi sasa tukimaliza tendo akili yangu inakuwa inakumbuka yale matusi yake yananifanya nikose pozi la kumwambia ukweli kuwa sipendi hii tabia.

Kinachonifanya nisimwambie ukweli huyu binti ni mtu mwenye kariba ya kupaniki na kununa hasa ukimwambia kitu cha kweli kinachokukwaza.

Wakurungwa nimfanyeje huyu binti ana miaka 25 ni pisi kali kweli kweli ila nashindwa kumwelewa akiwa kawaida sijawahi kumsikia akitukana hata kama tunagombana ila likishafika suala la kufanya mapenzi utamu ukimkolea na kama anafika kileleni basi matusi yaanaanza kama mvua ya mawe mpaka afike ndio anakuwa sawa anaacha kutukana.

Je hili ni tatizo la kawaida au ni mapepo aliyonayo? nimfurushe
Jini maimuna ndiyo wana tabia hiyo
 
Back
Top Bottom