Nimfanyeje mpenzi wangu aache kutukana matusi tukiwa katikakati ya tendo?

mkuu mimi sio muumini mapenzi ya kibubu (silent sex) ila pia sio muumini wa maneno ya matusi
Ndo kuvumiliana huko mkuu....BTW sex inachukua muda gani katika maisha yenu?? Kama hayo matusi yanakufanya usikojoe hapo sawa, unaweza kuongea nae tho najua hivyo vitu ni auto sijui kama ataweza kuji control na kufurahia at the same time!!
 
Umenifungua mkuu nimehisi hicho kitu hapa hakuna mwanamke
Hao ni type ya wale wanawake watukanaji wenye mdomo mchafu hata bangi si ajabu anatupia,huyo ni muhuni hata vijiwe vya wahuni amekaa.
Hata mtandao anatoa.
Kosa kubwa sana kuoa mwanamke anaekasirika means ana hasira na huwezi ukawa na hasira kama hauna shetani.
 
Ungependa akuimbie nyimbo za mapambio wakati anafika kileleni? We huwa unafanyaje unapofika kileleni? Unatukana? Una unguruma kama Simba 🤗😂😅?

Enjoy kwa sababu your girl yupo real,na unajua code maana asipotukana na kuweweseka haujafika kileleni. Kuwa more accomodating,ngono sio kama kanuni za fizikia,unaweza poteza mwanamke wife material kwa tatizo la kufikirika tu. Enjoy your fucking without prejudice 💐💐.
 
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa.

Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko town ila katika kukaa naye nimegundua tabia moja inanikera mno yaani tukiwa tunafanya mapenzi akiwa ameshakolea na kukaribia kufika kileleni anatukana matusi mengi kweli na kunipiga makofi na vurugu zinakuwa nyingi sasa tukimaliza tendo akili yangu inakuwa inakumbuka yale matusi yake yananifanya nikose pozi la kumwambia ukweli kuwa sipendi hii tabia.

Kinachonifanya nisimwambie ukweli huyu binti ni mtu mwenye kariba ya kupaniki na kununa hasa ukimwambia kitu cha kweli kinachokukwaza.

Wakurungwa nimfanyeje huyu binti ana miaka 25 ni pisi kali kweli kweli ila nashindwa kumwelewa akiwa kawaida sijawahi kumsikia akitukana hata kama tunagombana ila likishafika suala la kufanya mapenzi utamu ukimkolea na kama anafika kileleni basi matusi yaanaanza kama mvua ya mawe mpaka afike ndio anakuwa sawa anaacha kutukana.

Je hili ni tatizo la kawaida au ni mapepo aliyonayo? nimfurushe
Mimi nilidhani ni mchumba kumbe mpenzi, mpenzi hana mwenyewe na hata wazazi wake au wako hawamjui ,huyo ni kumwambia tu ondoka au labda nawe umenogewa na matusi mkuu, unahofua usije yamiss. Mpenzi ni chips funga kaka! wala huhitaji uulize hapa eti umfanyeje!
 
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa.

Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko town ila katika kukaa naye nimegundua tabia moja inanikera mno yaani tukiwa tunafanya mapenzi akiwa ameshakolea na kukaribia kufika kileleni anatukana matusi mengi kweli na kunipiga makofi na vurugu zinakuwa nyingi sasa tukimaliza tendo akili yangu inakuwa inakumbuka yale matusi yake yananifanya nikose pozi la kumwambia ukweli kuwa sipendi hii tabia.

Kinachonifanya nisimwambie ukweli huyu binti ni mtu mwenye kariba ya kupaniki na kununa hasa ukimwambia kitu cha kweli kinachokukwaza.

Wakurungwa nimfanyeje huyu binti ana miaka 25 ni pisi kali kweli kweli ila nashindwa kumwelewa akiwa kawaida sijawahi kumsikia akitukana hata kama tunagombana ila likishafika suala la kufanya mapenzi utamu ukimkolea na kama anafika kileleni basi matusi yaanaanza kama mvua ya mawe mpaka afike ndio anakuwa sawa anaacha kutukana.

Je hili ni tatizo la kawaida au ni mapepo aliyonayo? nimfurushe
alikuwa mwanachama wa porn porny
 
Back
Top Bottom