Nimfanyeje mpenzi wangu aache kutukana matusi tukiwa katikakati ya tendo?

Duh! umenikumbusha mchepuko wangu nae ana tabia zenye kufanana! kila nnapozagamua natukaniwa mama yangu, napigwa makofi ya mbavuni na kuna muda anataka kuning'ata ila namdhibiti kwa nguvu! Duh wanaume Mateso.
 
mkuu mimi nikisikia binti au mwanamke anatukana napata shida sana kumwelewa namtazama tofauti sana napata shida naye
Ndio maana ukaitwa pimbi. Kama hatukani kwenye mambo mengine anatukana kwenye shughuli wewe tatizo lako liko wapi hapo? Maana yake unamnogesha anapagawa mpaka anajikuta anatukana. Sasa wewe eti unamtazama tofauti hata yeye anaweza kukushangaa
 
Kinachonifanya nisimwambie ukweli huyu binti ni mtu mwenye kariba ya kupaniki na kununa hasa ukimwambia kitu cha kweli kinachokukwaza.
Hapo hauko peke yako au hana mpango na wewe yupo nawe kwa sababu ya shida zake tu. Mwanamke akikupenda ukinuna anakosa amani bila hata kujua kosa anaomba msamaha, ukiona unaleta hoja za msingi anakasirika kaa chonjo.
 
inawezekana ukimpelekea moto zaidi ndo unamuumiza zaidi so anaona ilikujitetea nikukutukana au kukupiga ili upunguze mzuka zaidi
 
Duh! umenikumbusha mchepuko wangu nae ana tabia zenye kufanana! kila nnapozagamua natukaniwa mama yangu, napigwa makofi ya mbavuni na kuna muda anataka kuning'ata ila namdhibiti kwa nguvu! Duh wanaume Mateso.
Ni zombi hilo 😀 ila ni kawaida hawa wenzetu wakikolezwa wanakuwa kama sio wao nakumbuka nilikuwa nae wa hvyo nikimpiga vizr anaongea mambo ya ajabu had najiuliza vp, kuna siku tulikwazana bas nkaona nimwambie niende zangu nae ajue njia yake akabembeleza pale na vilio vyake alafu badae kwenye mechi naskia anasema xa ulitaka uondoke huku ningefkaga tena lin? mhmhmhmhm
 
Wangu nlimpeleka chuo akaenda alivyorudi ukiwa unatia antukana fuuuuck fuuuuck https://jamii.app/JFUserGuide fuuuck nikamwambia ndo wamekufundisha hivo ulikoenda sio bure kuna mshensi alikuwa anakupeleka moto
 
Unashangaa huyo wako anayetukana matusi? Kuna wengine huleta vurugu za kufinya, kung'ata na kupiga ukiwa katikati ya mamboz. Mpaka ufikie kupiga goli moja la mwanzo umeishachoka kwa kipigo hutatamani kuendelea na mechi
 
huyu mwanamke ana matatizo ila changamoto nikimwambia tu ntakosa utelezi na hapa mjini mimi mgeni bado siwezi kuparamia kila mwanamke
Nobody's perfect hata na wewe una mapungufu yako anayoyamezea, aso na hili ana lile, ongea naye labda ktk malezi kuna vitu alimiss au umelelewa kinamna gani au makuzi yake, unaeza mbadili akawa vile unataka japo sio kwa 100% ila kiasi flani utaenjoy na anaeza kuwa mke na mama mzuri kabisa
 
doh pole sana mkuu. uyo hakufai nipasie mimi.
 
Mkuu mpaka muda huu hujafanikiwa kurekodi ka- audio ka hayo matusi utupiemo humu tusikie jinsi anavyotukana?
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…