ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Majirani wasije kusema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Boss huhitaji h/girl nyumbani kwako?? Nahitaji kazi
[emoji23][emoji23]Kanunue ma-lier uone kama utatukanwaπ
Qumamaqo [emoji23][emoji23][emoji23]Napenda matusi jamani, bila kunitukana sikojoi
Sisi wengine tunatukanwa na kung'atwa kabisa akishakojoa anaomba msamahaBaada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa.
Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko town ila katika kukaa naye nimegundua tabia moja inanikera mno yaani tukiwa tunafanya mapenzi akiwa ameshakolea na kukaribia kufika kileleni anatukana matusi mengi kweli na kunipiga makofi na vurugu zinakuwa nyingi sasa tukimaliza tendo akili yangu inakuwa inakumbuka yale matusi yake yananifanya nikose pozi la kumwambia ukweli kuwa sipendi hii tabia.
Kinachonifanya nisimwambie ukweli huyu binti ni mtu mwenye kariba ya kupaniki na kununa hasa ukimwambia kitu cha kweli kinachokukwaza.
Wakurungwa nimfanyeje huyu binti ana miaka 25 ni pisi kali kweli kweli ila nashindwa kumwelewa akiwa kawaida sijawahi kumsikia akitukana hata kama tunagombana ila likishafika suala la kufanya mapenzi utamu ukimkolea na kama anafika kileleni basi matusi yaanaanza kama mvua ya mawe mpaka afike ndio anakuwa sawa anaacha kutukana.
Je hili ni tatizo la kawaida au ni mapepo aliyonayo? nimfurushe
wee unapo fika kilele unafanyaje?Kama kikawaida hana hio tabia Hio ndio njia yake ya kufika kwa peak Mkuu muache tu afurahie kilele!
π₯±
Jirani yule ndugu mpalange sio?Mshukuru mungu umepata mwenye matusi mi mwenzio nipo spidi ya hatar nipo nahondomora nikaskia mtu sauti ya mahabaaaaa "bebe na jirani anataka" si ndio nikaanza kuangalia mlangoni nadirishani nikajua labda kuna mtu anatuchunguria nyeeeeeeee tembea uone wewe
Ni swala la muda tu mihemko inatupelekeshaπJirani yule ndugu mpalange sio?
Yule mtandao wa bei nafuu?
Ulifanyeje mndewa?
Ufufuo na uzimaKaribu kanisani kesho
πππMleta mada naomba uwe unarecod hyo sauti yake na matusi Kisha tuma huku
Daaaaaa πππ
Watu wa humu Mungu mnamkumbuka kwa makomwe mnayowaambia watuDaaaaaa πππ
KumekuchaMleta mada naomba uwe unarecod hyo sauti yake na matusi Kisha tuma huku
Jini maimuna ndiyo wana tabia hiyoBaada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa.
Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko town ila katika kukaa naye nimegundua tabia moja inanikera mno yaani tukiwa tunafanya mapenzi akiwa ameshakolea na kukaribia kufika kileleni anatukana matusi mengi kweli na kunipiga makofi na vurugu zinakuwa nyingi sasa tukimaliza tendo akili yangu inakuwa inakumbuka yale matusi yake yananifanya nikose pozi la kumwambia ukweli kuwa sipendi hii tabia.
Kinachonifanya nisimwambie ukweli huyu binti ni mtu mwenye kariba ya kupaniki na kununa hasa ukimwambia kitu cha kweli kinachokukwaza.
Wakurungwa nimfanyeje huyu binti ana miaka 25 ni pisi kali kweli kweli ila nashindwa kumwelewa akiwa kawaida sijawahi kumsikia akitukana hata kama tunagombana ila likishafika suala la kufanya mapenzi utamu ukimkolea na kama anafika kileleni basi matusi yaanaanza kama mvua ya mawe mpaka afike ndio anakuwa sawa anaacha kutukana.
Je hili ni tatizo la kawaida au ni mapepo aliyonayo? nimfurushe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema matusi yanapandisha mzuka acha tuu [emoji7][emoji7]Daaaaaa [emoji39][emoji39][emoji39]