...Utakuwa Tajiri tu , iko hivi kila Jambo duniani Lina sababu zake na hatua (stage) ukiona mtu Tajiri Leo ujue sio bahati mbaya kawa Tajiri.
Utajiri Ni baraka, Utajiri Ni nguvu, Utajiri Ni zawadi he ili upate baraka au zawadi si lazima ufanye Jambo sivyo?
Hao bakhersa , Mo , Ni stage ya juu ya kiutajiri ambayo mwanadamu wa kawaida ili awe nayo lazima apate Vitu Fulani kutoka mamlaka kubwa Sana.
Utajiri umegawanyika sehemu tatu ,
1. Ngazi ya chini-kimtaa mtaa ,
2. ngazi ya Kati kiwilaya,kimkoa,
3.ngazi ya juu kitaifa na kimataifa(kidunia)
Sasa ili uweze kuwa Tajiri lazima upate akili(ufahamu) wa Nini ufanye ili ufanikiwe kwasabba ubongo wa mwanadamu una kikomo wa ujuzi wa Mambo, hivyo upate mwongozo kutoka mamlaka husika. Yaani utajiri ambao ungeupata kwa miaka 15 mbele unaupata within a year . Ufanye Nini Hilo Ni fumbo
Tukirudi kwenye swala lako, wewe mwenyewe ndani unajionaje?😁😁 Unajiona Tajiri kiasi gani, utajiri utalingana na fikra zako . Yote kwa yote ridhika zako ziko mamlaka ya juu , ulikoumbwa, mrejee Mungu wako mwambie akupe nguvu ya Utajiri Kama ikimpendeza. Maana Mungu habagui anawapa Hadi ngedere ridhiki kila la kheri.