Nilitaka kutuma kwa niaba ili kulinda HESHIMA ya kiumeni! Sa bht mby hawajaweka namba!Elf 20 tu unakuja kulialia jf angekwambia umtumie laki 1 si ungeandamana ebu tuma hiyo hela acha kulia lia unawaaibisha wanaume wenzio
Nilitaka kutuma kwa niaba ili kulinda HESHIMA ya kiumeni! Sa bht mby hawajaweka namba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Elf 20 tu unakuja kulialia jf angekwambia umtumie laki 1 si ungeandamana ebu tuma hiyo hela acha kulia lia unawaaibisha wanaume wenzio
Khaaaa umeamua kumuabisha shost wangu
Shikamoo hazard[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Marahaba shunie...
Mic u
Sipo dar nimesafiri kikazi..sasa huku mpka upate sehemu inasoma E ndio unaibia ibia jeifu kidogoMiss u too [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nani kakuficha hivyo au tunapishana tu majukwaani
Sipo dar nimesafiri kikazi..sasa huku mpka upate sehemu inasoma E ndio unaibia ibia jeifu kidogo
Asantee..kuna mpya gani hapa?Pole sana jamani
Hakuna mpya jamaniAsantee..kuna mpya gani hapa?
hah hahhaa hahaa .....Muulize wewe ni Vicoba au Sido ""....?Jamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyuView attachment 796612
ha hah hahaamwambie kwa sasa upo hosptal umeshikwa na uchungu ukimaliza kujifungua baadae utamtumia
Yaani kama changu bwana....khaaaaa!!!!!PESA HAPO UNGEMPA TU SI ANAKUPAGA AU ILA KAKOSEA KUOMBA MESEJI HAZINA ADABU
Ha hah hahaHuyo ni kanali mstaafu usimlaumu sana.Si unajua tena mpaka alipwe pension mwisho wa mwezi?
hahaha ebu malizia hiyo convo chief....Jamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyuView attachment 796612
hahahamwambie akutumie 30000 halafu utamtumia hiyo 20000