Nimjibu nini huyu?

Nimjibu nini huyu?

Elf 20 tu unakuja kulialia jf angekwambia umtumie laki 1 si ungeandamana ebu tuma hiyo hela acha kulia lia unawaaibisha wanaume wenzio
Nilitaka kutuma kwa niaba ili kulinda HESHIMA ya kiumeni! Sa bht mby hawajaweka namba!
 
Elf 20 tu unakuja kulialia jf angekwambia umtumie laki 1 si ungeandamana ebu tuma hiyo hela acha kulia lia unawaaibisha wanaume wenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Miss u too [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nani kakuficha hivyo au tunapishana tu majukwaani
Sipo dar nimesafiri kikazi..sasa huku mpka upate sehemu inasoma E ndio unaibia ibia jeifu kidogo
 
Back
Top Bottom