Nimkubalie au?

Umemkuta anapendeza, ko kuna mtu anahudumia as of now. Anachomanisha n kwamba ukiwa na pesa unamkula,na tabia n kama ngozi,uyo ata kwenye ndoa atakuletea shida siku ukiyumba kiuchumi.
Hakuna wife material hapo,toa hela piga usepe mapema
Sawa mkuu
 
Mkuu niposema mtoto wa kigogo sikumaanisha aa kishua. Nimaanisha kabila. Ushauri nimeupokea
 
Slay queen kaa mbali.
 
Yule wa juzi ushamwacha?
Ntafuta mke mumy, natega kote anaezingua anakaa pembeni. Yule nmeweka kando. Leo nikikutana na mwingine njiani napak kushoto, nampa lifti nachukua namba, natekenya akitekenyeka naanza kumpima. Akizingua naweka pembeni
 
Ntafuta mke mumy, natega kote anaezingua anakaa pembeni. Yule nmeweka kando. Leo nikikutana na mwingine njiani napak kushoto, nampa lifti nachukua namba, natekenya akitekenyeka naanza kumpima. Akizingua naweka pembeni
Utafika umemchoka wangu....tulia utampata Kwa wakati
 
Kwenye text zake kuna jumbe mbili kubwa, kwanza kuna mtu anayemhudumia ukiona mtu ni mzuri na anapendeza si kuna mtu anamhudumia sasa ni juhudi zako ili amuache anayemuhudumia kama umenielewa kazi ni kwako

Manzi anakupanga kwenye orodha yake na bado unamuona ni wife material πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli mapenzi ugonjwa.
 
Tatizo lipo kwako mzee, Kwani kwa muonekano na alivyo au lifestyle haukujua kuwa atakuwa ni mwanamke wa namna hio yaani unasema unatafuta chaka la kudumu ikowezekana uoe then bado unaanvalia mwenye muonekano na lifestyua Snapchat na Tiktok hutoboi.

Mwanamke unamjua tu kabla ya kumuingia kuwa huyu hivi huyu hivi chaka langu nililonalo sasahivi Nina week mbili nalo pesa pekeeniliyotumia ni kumnunulia Brakefast 1200 na juisi 600 still nitatumia pesa kwako ila ni chache nilizo plan Mimi na kwa mtindo wa kidumisha mapenzi outing, gifting nk hii yote nilishamuona kabla sijamuingia kuwa kwa muonekano na lifestyle yake Hana makuu ni chaka la kuweka kiota
 
Inamaanisha akija mwenye dau kubwa unabwagwa au inakuwaje
 
We tumia mbinu mgonge basi Kisha achana nae atapata huyo wa kumhudumia mwanamke akiwa keki sana gonga tembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…